Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani

Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani.

Akizungumza na Al Jazeera, Dhaifallah Al-Shami, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansar Allah, alisema kuwa iwapo kutasitishwa, itatumika tu kwa shabaha ya meli za Marekani, huku kulengwa kwa meli za Israel kukiendelea.

Al-Shami ameongeza kuwa hii inaweza kuwa hatua chanya kwa Yemen kuchukua nafasi muhimu katika usitishaji vita na kumalizika kwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Palestina.
Trump kwenye mkutano wake leo kaficha kusema haya makubaliano.
=========================
Breaking | Oman announces a ceasefire agreement between the Houthis and the US.

Speaking to Al Jazeera, Dhaifallah Al-Shami, a member of the Political Bureau of Ansar Allah, stated that if there is a halt, it will apply only to the targeting of American ships, while the targeting of Israeli ships will continue.

Al-Shami added that this could be a positive step for Yemen to take a central role in the ceasefire and the end of the Israeli genocide in Palestine.

View: https://x.com/qudsnen/status/1919829888258670625?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Msimchezee Trump 🐼
1000033145.jpg
 
Sasa Meli za Marekani si ndio za Israel
Meli za Marekani zitakuwaje za Israel,kiufupi Marekani ameiacha Israel ipambane na msaraba wake yenyewe,hata kipindi wahuthi wanatangaza operation dhidi ya meli za Israel walikuwa hawajawahi kuigusa meli ya Marekani.
Wahuth walianza kuzilenga meli za Marekani baada ya Marekani na uingereza kuanza kuwashambulia wahuthi kwa lengo la kuisaidia Israel.
 
Hao makenge wa kanisa hawafahamu USA alienda kuiondolea Israel blocked sa kaona yeye ndio anakula hasara kamwambia Yemen sitaki vita na Al Houth afu tawalipa pesa kisisiri nyie endeleni na Israel. Mimi na nyie kila mmoja amuheshimu.mwenzake
 
Meli za Marekani zitakuwaje za Israel,kiufupi Marekani ameiacha Israel ipambane na msaraba wake yenyewe,hata kipindi wahuthi wanatangaza operation dhidi ya meli za Israel walikuwa hawajawahi kuigusa meli ya Marekani.
Wahuth walianza kuzilenga meli za Marekani baada ya Marekani na uingereza kuanza kuwashambulia wahuthi kwa lengo la kuisaidia Israel.
Usiwe na mahaba mpaka unajitoa ufahamu, rafiki wa adui yako kivita tokea lini akawa rafiki wa kweli.

Hii ni advantage kwa Israel, sasa shehena zao kuna uwezekano wakapitisha kwa kutumia meli za america sasa usalama hapo upo wapi?
 
Baba mtu kaomba poo mtoto ataweza?
Israel hawana itaikadi za kipuuzi kashajua. Anawindwa hapo amsikilizi yeyote ndiyo maana akushiriki mazungumzo yoyote Yale na wouth
 
Usiwe na mahaba mpaka unajitoa ufahamu, rafiki wa adui yako kivita tokea lini akawa rafiki wa kweli.

Hii ni advantage kwa Israel, sasa shehena zao kuna uwezekano wakapitisha kwa kutumia meli za america sasa usalama hapo upo wapi?
Hahaha unaleta akili za Ngudu.

Yemen wanajua wanakifanya kwanza ni marufuku hata Meli ya Marekani kwenda kwenye bandari za Israel.
 
Houthi wameonesha ujasiri wa hali ya juu. Mashariki ya kati imejaa ma p*ssy kabisa. Israel anaua wapelestina kama sio binadamu vile alafu akina Saudi Arabia, Qatar, Oman, Jordan N.K wanachekachek tu.
 
Echolimai mbona uku achangiii!!! Kobaz wanatamba kupitia Mokombora Marakani kashtuka naenda kufa uku China uku nisipitishe MALI,,!!!

mm naamin pengine Tramp vile anataka kwenda Mashariki ya kati apo Saudia sasa anawasiwasi na Wahothi wasije kutumiwa na Iran kuumuuwa !!!!

Vile Tramp anajua IRAN inamsaka kimtindo kijasus !!!

Baada ya kisa cha Jeneral Qassim Soleiman wa Iran. !!

Kiusalana Iran awezi kufanya mauwaji moja kwa moja !!

lkn kupitia Yemen ingeweza!!

uku yenyewe Iran ingekuwa nchi ya kwanza kulaaani ayo mauwaji. !!!

Nathan Tramp anatafuta Usalama kashajua uwezo wa Majesh ya Marekani kwasasa awana uwezo wakuzuiya Makombora ya Houthi bin IRAN iran baba lao.!!!
 
Trump katema bungo maneno mengi ohoooh Yemen itageuka kuzimu.

😃😃
 
"Kwa kweli Yemen inajaribu kutekeleza sheria za kimataifa kwa kuilazimisha Israel kukomesha mauaji ya watu wa Palestina."

Mwanaharakati na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Yemen Hussain Al-Bukhaiti anasema nchi yake itasimamisha tu mashambulizi yao dhidi ya utawala wa Israel wakati watakapoondoa vikwazo vya Gaza na kukomesha mauaji ya kimbari.

View: https://x.com/qudsnen/status/1920051718299000919?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Inasemekana kwamba ndege ya USS Truman pia ilipingwa na AnsarAllah wakati huo huo inasema CNN.

Walakini, CNN inasema "sio wazi" ikiwa matukio hayo mawili yanahusiana.

Kwangu, inaonekana kama F/A-18 ilishindwa kutua kwa sababu ya moto wa Yemen.
 
Ustaazi uchwara naona leo umeibuka na habari zako za kuokoteza kama kawaida
 
Back
Top Bottom