Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu Taaluma,Vipaji, Mabadiliko ya kijani Katika Mapinduzi ya Viwanda Afrika Nchini Kenya jijijni Nairobi.

Mkutano ambao TANZANIA inashiriki kwa kuwakilishwa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknologia .

Mkutano Huo umeanza Leo 24/04/2024 na Kutarajiwa kumalizika 26/04/2024.
IMG-20240424-WA0026.jpg
IMG-20240424-WA0027.jpg
IMG-20240424-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom