Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

Lakini amesema mafanikio yake wakati wake hakukuwa na utekaji na alikua hapokei maelekezo ya wanasiasa
Muongo na mnafiki huyo, vipi kuhusu issue ya mapanga fake yaliyochorwa nembo ya CUF na kisha kuwasingizia CUF kwamba ni magaidi. Je, alitumwa na Nani kufanya hivyo? Je, Ni nini lengo la ile movie?
 
Aisee
 
Cha ajabu Mungu Bwana Wa Majeshi anawapa maisha marefu na yenye furaha wazee kama hawa.

Bado naendelea kutafakari huyu Mungu tunayefundishwa
 
Sasa ukatili wake umelisaidia vipi taifa katika kupiga hatua za maendeleo ya kiuchumi,kijamii,kisiasa na kisheria pia?
Ndivyo akili za polisi zilivyo, ni kama yule traffic police waliyemuuliza "unajisikiaje baada ya kuhamishiwa Chalinze kutoka Kilombero" akajibu "alhamdulillah, hapa kuna magari mengi sana kutoka Tanga, Arusha, Moshi, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa na nchi za nje, Kilombero unaweza kukamata gari moja tu kwa siku nzima"
 
Watanganyika walio wengi hawafahamu haya, wanamuona mtu mbaya ni Samia tu. Mkapa na Mahita walifanya kitu kibaya sana kwa jamii ya Wazanzibari na khasa wapemba.
Historia ina tabia ya kujirudia.
Muongo na mnafiki huyo, vipi kuhusu issue ya mapanga fake yaliyochorwa nembo ya CUF na kisha kuwasingizia CUF kwamba ni magaidi. Je, alitumwa na Nani kufanya hivyo? Je, Ni nini lengo la ile movie?
 
Ndio maana wasenji wakaja kulipiza kisasi kwenye uchaguzi wa 2025 kwa kuua watanganyika maelfu.
Una ushahidi wa Wazanzibari kufanya mauaji Tanganyika?
Au ni story za vibaraza vya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…