Ni katili la asili hili. Ni idd amin huyu.Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
CUF walisema wao ni NGANGARI kinoma, Mahita akaja kuwajibu CUF kama wao ni ngangari basi wao polisi ni NGUNGURI, jeshi la polisi likawa linataniwa ni ngunguri kutokana na kauli ya Mahita
Yuko sawa sometimes ukatili unasaidia lakini nadhani anamaanisha kuwa strict no nonsense. Kwasababu mbogo akikuzoea anakupanda hadi mabegani.
Moja ya msingi mkuu wa kwenda kufuta dhambi na kutubu kwa yote ambayo mabaya kiumbe uliyoyafanya.
Binaadam ktk maisha unakosea na fursa imetolewa kitubu, sisi waislam moja ya fursa hio ni hijja.
Nilimsikia Omar Hita akijisifu kwamba yeye alikua igp katili tena katili hasa.
Katili ni mtu ambaye unaumiza watu kwa kiasi kikubwa.
Inaamaana mh Omar Mahita aliopoenda hijja hakupata fursa ya kuomba toba kwa nafasi aliotumikia ya ukoo wa vyombo dola?