GE2025 Omari Ayoub asisitiza ushindi wa kishindo wa Rais Samia na wagombea wa CCM Tanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga na aliyewahi kugombea ubunge wa Jimbo la Tanga, Omari Ayoub, amesema kuwa kazi kubwa iliyosalia kwa sasa ni kuhakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao.

Akizungumza na Global TV, Ayoub alisema kuwa Mkoa wa Tanga umejipanga kuhakikisha unatoa kura nyingi zaidi za Rais, wabunge na madiwani kuliko wakati wowote uliopita, kwa misingi ya chama cha Mapinduzi (CCM).

Aidha, aliwataka Watanzania kuungana na kuunga mkono wagombea wa CCM kuanzia nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais pamoja na Rais wa Zanzibar.

Ikumbukwe kuwa, katika kura za maoni za ubunge wa Jimbo la Tanga, Omari Ayoub alishika nafasi ya pili baada ya kupata kura 4,146.

Ni sawa
 
IMG-20250823-WA0105.jpg
 
Back
Top Bottom