Omari Mwariko Amefariki Dunia

Omari Mwariko Amefariki Dunia

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
TAAZIA: OMARI MWARIKO AMEFARIKI
Nimepokea taarifa ya Omari Mwariko.

Si wengi watakuwa wanamfahamu katika miaka hii lakini Mwariko alikuwa bingwa wa kuchonga vinyago na katika uhai wake katika tasnia hii ya usanii aliitangaza Tanzania Ulaya, Marekani na kwengine kwingi kwa kazi zake.

Picha hii nimepiga na Omari Mwariko mwaka wa 2008 Moshi nje ya CRDB alikuwa anapita njia nikamuona.

Nikamfuata na kumsalimia na nikajieleza kuwa hanifahamu kwani mimi nilikuwa mdogo sana kwake katika miaka ya 1960 wakati yeye tayari alikuwa mtu maarufu.

Allah amfanyie wepesi safari yake.
Amin.

326934011_876491253560447_4218433595369724575_n.jpg

Alla amsamee madhambi yake
 
😥😥😥
 
Back
Top Bottom