Dabal Dee ndio Omary Mungui jipigie debe baba na weka thread zako kwa wingi. Ila ukumbuke SS NI NO REFORMS NO ELECTION hesabu zetu tunazifungia hapo.Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Mhandisi Omary Mungia ameingia kwenye mbio za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama hicho, baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa kugombea katika Jimbo la Korogwe Mjini.