Omba huku ukichukua hatua ya kuwa vile uombavyo uwe imani pekee haitoshi

Omba huku ukichukua hatua ya kuwa vile uombavyo uwe imani pekee haitoshi

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata vile wavitakavyo vilipo au kuvivutia

Mara nyingi vitu vizuri zaidi vina ushindani na wakati mwingine vinaogopwa na watu wengi ama kwa muonekano wake, status zake, vilivyo tu mpaka uthubutu na ujipe ujasiri wa kuvifaata vilipo au kujipenyeza huku ukiwa imani ndani mwako, ujasiri na uhitaji ndipo utakimiliki hicho

Amini tupo kwenye foleni ya kila mtu na majira yake na upekee wake. Mkumbushe Mungu kwa sauti yako ya kwikwi pale uonapo wengine wametangulia mwambie Mungu akukumbuke.

Usiahau sa nane usiku apa nitakua na maombi ya kufunguliwa milango Yako ya baraka 🙏🏽
1731102714904.jpg
 
Back
Top Bottom