Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal
Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv
Mmoja kati Yao alikua ana mtoto mchanga kambeba lakini kamgeuzia mbele
Basi bwana wakaniita ,nikasogea pale wakaniambia wanaomba niwasaidie naul sijui wametoka singida sijui wanaoenda wapi, wameishiwa nauli mara mtoto hajala tangu asubuhi
Kiukweli wanatia huruma the way wanaongea
Nikaingia mfukon nikaangalia chenchi iliokua imebaki, nikawapa tukaachana
Ikapita siku tatu nikaja kukutana nao hospital ya makole, wale wale vile vile na mtoto wao
Wamenisahau kbsa kama waliwahi kunipiga mznga, wakaniita tena wakajieleza vile vile, nikawajibu ndg Zang Leo sina ela sikutaka mambo yawe mengi
Ila sijui dodoma Kuna namna gani ukiachana na hawa nimewah kukutana na vijana tofauti tofauti maeneo tofauti,
Unakuta kijana yupo smart kbsa kapendeza anakusimamisha, unadhani labda mgeni anataka akuulize sehem hapajui unamsikiliza kumbe anakupiga mzinga