Omba omba wa Bukoba mjini tabia ya kukaa nje ya vyumba vya ATM sio poa

Omba omba wa Bukoba mjini tabia ya kukaa nje ya vyumba vya ATM sio poa

Ombaomba Hana ofisi mkuu we kama unazo toa tu Na kama huna Kula Kona
 
Cha kujiuliza kwanini tuwe na ombaomba ? Kama taifa hatulioni hili ? Au ndio kuanzia taifa tumeshakuwa wa kuona sifa kuwa ombaomba

Na je kama hizi nguvu kazi kama taifa tumeshindwa kuzitumia kwa kuwapa watu fursa za kupata ujira, Je wazee wa kesho ambao ndio vijana wa leo wote wabangaizaji wasio na ujira hivyo kukosa pensheni tutawafanya nini ?


In short things have already fallen apart ila tatizo la vitu kama hivi mbegu mbovu (Bangi unayopanda leo badala ya Mchicha) itavunwa na taifa la kesho; Kwahio wazee wetu walituachia neema sisi tutawaachia vizazi vijavyo matatizo na kero...
 
Back
Top Bottom