Omba omba wa kutokea Tanzania washtakiwa kwa kukosa vibali vya aina yoyote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mahakama imeamuru warudishwe kwao Tanzania maana wanaishi Kenya wakiomba omba pembezoni mwa barabara bila vibali vya aina yoyote, wapo wapo tu.
----------------

A court in Bomet arrested and ordered the deportation of two Tanzanian nationals who were posing as beggars, the Daily Nation reported on Tuesday, October 1.

The two men identified as Emanuel Masabuko and Dues Peter were arraigned before Bomet Senior Resident Magistrate Kipkirui Kibowen on charges of being in the country illegally.

The two had teamed up to execute the con with Peter handling the disabled Masabuko helping him move around in his wheelchair.

Peter Dues pushes Emanuel Masabuko's wheelchair as they are accompanied by a police officer. The two were arrested in Bomet for being in the country illegally on Monday, September 30.

Masabuko and Peter admitted to their offences and the court directed officials from the Immigration Department to deport them immediately.

Acha kulia lia.
Wafukuzeni waTanzania waishio kinyume cha sheria.
 
Hehehe!! Unalalamika nini, ni taarifa nimeleta maana mumeshakua kero, hakuna aina ya uwekezaji mwingine mnaweza kufanya huku.
 
tena fanyeni haraka,na wakija huku wanapokelewa na kuwekwa mahabusu.

haiwezekani wakaombe masikini asiye na chakula ni uhalifu[emoji38][emoji38][emoji38]

Wamejazana huku sana, ila wanaogopa kurudi kwenye nchi ambayo vyuma vimekaza, hawa tatizo lao hawana vibali vyovyote ndio inabidi wafurushwe, lakini wengine maelfu wapo tu tunawasaidia wasirudi kuteseka huko kwao.
 
huwezi kuta Mganda, Msomali, Msudan Kusini au Mhabeshi akifanya upuzi huu nchini Kenya.
Kweli Mwalimu JKN hakuitendea haki nchi yangu ya Tanzania
 
Wamejazana huku sana, ila wanaogopa kurudi kwenye nchi ambayo vyuma vimekaza, hawa tatizo lao hawana vibali vyovyote ndio inabidi wafurushwe, lakini wengine maelfu wapo tu tunawasaidia wasirudi kuteseka huko kwao.
nyinyi mnafahamiana vyema na hao watu wenu.

omba omba anapataje uwezo wa kufika lenya bila kibali?
 
Yataka moyo jombaa, yataka moyo. Wewe unadhani ni jambo la mzaha mzaha kumkamata kipofu au mlemavu ambaye anaruka kutoka kwa wheelchair kisha anapanda na kutoroka kwa pikipiki? Hebu ona hii drama ambayo ilitokea walipofumaniwa kule gatuzi la Makueni.

Hivi unajua nini maana sheria?
Ingekuwa hivyo basi msingekuwa na haja ya kutunga sheria, badala yake mungekuwa na mioyo tu.
 
Mahakama imeamuru warudishwe kwao Tanzania maana wanaishi Kenya wakiomba omba pembezoni mwa barabara bila vibali vya aina yoyote, wapo wapo tu.
----------------

A court in Bomet arrested and ordered the deportation of two Tanzanian nationals who were posing as beggars, the Daily Nation reported on Tuesday, October 1.

The two men identified as Emanuel Masabuko and Dues Peter were arraigned before Bomet Senior Resident Magistrate Kipkirui Kibowen on charges of being in the country illegally.

The two had teamed up to execute the con with Peter handling the disabled Masabuko helping him move around in his wheelchair.

Peter Dues pushes Emanuel Masabuko's wheelchair as they are accompanied by a police officer. The two were arrested in Bomet for being in the country illegally on Monday, September 30.'s wheelchair as they are accompanied by a police officer. The two were arrested in Bomet for being in the country illegally on Monday, September 30.

Peter Dues pushes Emanuel Masabuko's wheelchair as they are accompanied by a police officer. The two were arrested in Bomet for being in the country illegally on Monday, September 30.

Masabuko and Peter admitted to their offences and the court directed officials from the Immigration Department to deport them immediately.

Hao ombaomba ni wale wapumbavu ambao ni wavivu kujishughulisha hata Daresalam Kikwete alikua akiwafurumusha.
Tanzania hatutaki watu wavivu.
Magufuli anasema "Hapa kazi tu" na hii ndio kauli mbiu yetu.
Asa hapo kuna wengi sio walemavu na wengine hujilemaza makusudi.
Waacheni wabaki huko ama watieni vibiriti kabisa hatuwataki maana hawaendani na kauli mbiu ya rais wetu.

Kingine mm najiuliza unawezaje kuvuka border pasi na kibali cha kutoka nchi husika na kwenda nchi husika???!!!
Kuna namna hapa inafanyika.
Ila tukubali tukatae WATANZANIA WANA ASILI YA UVIVU HAO OMBAOMBA HUSUSAN HAO WANAOWABURUZA WENZAO KTK VITI KUPITA KUOMBA WANA NGUVU ZA KUFANYA KAZI VEMA TU ILA NI UFINYU WA FIKRA NA UVIVU.
Wapigeni vibiriti tu ama watieni korokoroni huku hatuwataki watu wavivu na wazandiki.
 
Hivi unajua nini maana sheria?
Ingekuwa hivyo basi msingekuwa na haja ya kutunga sheria, badala yake mungekuwa na mioyo tu.
Boss, sio ndio hawa hawa ambao mahakama zinapeana amri kwamba warudishwe makwao? Baada ya wao kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Shida ni kwamba wakirudishwa wengine wanakuja na wanazidi kuongezeka kila uchao. Itabidi hata na nyinyi pia mtafute suluhisho upande wa pili wa boda.
 
Hao ombaomba ni wale wapumbavu ambao ni wavivu kujishughulisha hata Daresalam Kikwete alikua akiwafurumusha.
Tanzania hatutaki watu wavivu.
Magufuli anasema "Hapa kazi tu" na hii ndio kauli mbiu yetu.
Asa hapo kuna wengi sio walemavu na wengine hujilemaza makusudi.
Waacheni wabaki huko ama watieni vibiriti kabisa hatuwataki maana hawaendani na kauli mbiu ya rais wetu.

Kingine mm najiuliza unawezaje kuvuka border pasi na kibali cha kutoka nchi husika na kwenda nchi husika???!!!
Kuna namna hapa inafanyika.
Ila tukubali tukatae WATANZANIA WANA ASILI YA UVIVU HAO OMBAOMBA HUSUSAN HAO WANAOWABURUZA WENZAO KTK VITI KUPITA KUOMBA WANA NGUVU ZA KUFANYA KAZI VEMA TU ILA NI UFINYU WA FIKRA NA UVIVU.
Wapigeni vibiriti tu ama watieni korokoroni huku hatuwataki watu wavivu na wazandiki.

Ndio taswira yenu, mlilemazwa na ujamaa hadi wote mpo kiomba omba zaidi hamtaki kujituma, nchi bado maskini kwenye LDC licha ya raslimali nyingi kuzidi kainchi kadogo kama Kenya ambako kenyewe zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, yaani nyie mivivu wa kutupwa aisei.
 
Boss, sio ndio hawa hawa ambao mahakama zinapeana amri kwamba warudishwe makwao? Baada ya wao kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Shida ni kwamba wakirudishwa wengine wanakuja na wanazidi kuongezeka kila uchao. Itabidi hata na nyinyi pia mtafute suluhisho upande wa pili wa boda.

Kila nchi ina jukumu na wajibu wa kulinda mipaka yake.
 
Back
Top Bottom