eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ndio taswira yenu, mlilemazwa na ujamaa hadi wote mpo kiomba omba zaidi hamtaki kujituma, nchi bado maskini kwenye LDC licha ya raslimali nyingi kuzidi kainchi kadogo kama Kenya ambako kenyewe zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, yaani nyie mivivu wa kutupwa aisei.
Acha excuse za kijinga. Kenya ni kanchi kadogo nani kakwambia?? Unataka uje na hizo lame excuses ili tusiwasute watu wanavyokufa njaa.