joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya ni nchi ya hovyo sana, ina maana hamna sheria?, mbona sisi huku wakenya majambazi na majizi tumeyadhibiti kwa kuwajaza katika magereza sasa hivi hawajaribu tena kuichezea Tanzania
Lol...Kenyans' benevolence makes their country a beggars' paradise. There is a cartel who smuggles these beggars for financial gains. Halafu watu humu wanatukana wakenya ovyoovyo