Omba uoe mwanamke kama huyu

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Kwa wenzetu wa Kenya ni kawaida kwa mwanamke kumshushia kipigo mwanaume tena cha haja kama hajaacha kodi ya meza lakini hali ni tofauti kwa TZ huku hata mwanamke awe baunsa vp lakini hawezi kato kurusha ngumi kwa mmewe kujibu mashambulizi. Lakini ukioa mwanamke kama huyu anae dandia daladala la Mbezi naamini hata mkivamiwa na majambazi mama anaweza saidia kujibu mashambulizi za kichina china huuha.
 
Duuuuu!

Asije kuwa kweli ana undugu na kina Prayut Chan-O-Cha :biggrin:
 
Yawezekana jike dume huu msamba si mchezo
 
aisee pozi zuri...
cjui kama analitoa na kule faragha.?
 
mbona watu wanawasemaga wanawake wa mbagala eti wanavaa suruali kwa sababu wanapenda kupita dirishani kumbe hata kimara?
 
mbona watu wanawasemaga wanawake wa mbagala eti wanavaa suruali kwa sababu wanapenda kupita dirishani kumbe hata kimara?

Hujui siku hizi Kimara inapanuka sana watu wanahamia sana maeneo hayo na vitongoji vyake. Na wanawake wa kimara wana nguvu sana hupambani nae kwenye kugombania daladala jamaa angu kaniambia.
 
Hujui siku hizi Kimara inapanuka sana watu wanahamia sana maeneo hayo na vitongoji vyake. Na wanawake wa kimara wana nguvu sana hupambani nae kwenye kugombania daladala jamaa angu kaniambia.
Wanakula mavitimoto na mambuzi choma na mabia!!!
 
Hujui siku hizi Kimara inapanuka sana watu wanahamia sana maeneo hayo na vitongoji vyake. Na wanawake wa kimara wana nguvu sana hupambani nae kwenye kugombania daladala jamaa angu kaniambia.
Bongo ni bongo tu, hakuna cha mbagala wala osterbay, we are talking the same language maadam wote wapo dar, foleni ileile, kudandia daladala, mafuriko kama kawaida, na mabomu ndio usiseme
 
hiyo kali kweli, huyo dada ni shujaa inaonesha anapenda kuwahi kazini maana wengine wangesingizia hakuna usafiri huku mara daladala zinakatisha ruti lakini huyo amepambana mpaka amepata usafiri. Hongera zake ila awe makini na vioo vya daladala zetu vingine vina mapengo.
 
Nawapenda sana wanawake ambao hawasubiri kuwezeshwa ili waweze. Mwanamke unaweza kila kitu niwezacho kasoro huwezi kukojoa katika sinki la kukojolea wanaume.Bazazi ni Bazazi
 
Huyu mwanamke akikubana kwenye mechi usipofunga goli lazima ufanane na yule kocha aliyechezesha mech ya Yanga na Azam
 
du demu flexible huyo,i hope kitandani anajipanua hivyohivyo......konda anatamani suruali ichanike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…