TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Kwa wenzetu wa Kenya ni kawaida kwa mwanamke kumshushia kipigo mwanaume tena cha haja kama hajaacha kodi ya meza lakini hali ni tofauti kwa TZ huku hata mwanamke awe baunsa vp lakini hawezi kato kurusha ngumi kwa mmewe kujibu mashambulizi. Lakini ukioa mwanamke kama huyu anae dandia daladala la Mbezi naamini hata mkivamiwa na majambazi mama anaweza saidia kujibu mashambulizi za kichina china huuha.
