Omba uoe mwanamke kama huyu

Omba uoe mwanamke kama huyu

toka kkoo/posta kwenda mbezi huchukua masaa mawili au zaidi, kwa wale wanaopanda mwanzo wa safari huakikisha wanapata kiti maana gari inashindilia ukinyanyua mguu hakuna pa kurudishia.
 
toka kkoo/posta kwenda mbezi huchukua masaa mawili au zaidi, kwa wale wanaopanda mwanzo wa safari huakikisha wanapata kiti maana gari inashindilia ukinyanyua mguu hakuna pa kurudishia.

mbezi ipi?
 
matatizo ya usafiri wakubwa!!
ila kumuoa mwanamke kama huyu raha sana koz hatakusumbua kwa style yoyote unayoitaka!!!
Nampa big up kwa sana.:violin::violin::violin::violin:
 
Back
Top Bottom