Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

chief zuma

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
229
Reaction score
144
Hii imenitokea juzi nikiwa na mishe zangu mjini morogoro
Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
 
Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] pole sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
usiombee kuingia vyoo vya Polisi kota, ni vichafu mno yaani utadhani vinatumiwa na masokwe .
Una ugomvi nao au?
Hebu nenda ukaangalie vyoo vya maeneo yafuatayo harafu linganisha na hicho ulichokisema
Shule za msingi haswa za vijijini
Masoko makubwa ya mijini
Stendi za mabasi
 
Inashauriwa kutembea na dawa za kuzuia kuharisha na panadol
 
Ukisikia call of nature ndio hii kwa wenzetu amabao wamwstaarabika wamejenga vyoo vya umma,ni bora hata haja kubwa sio ndogo,ingawa upo uharo ungine balaa unataka ubane hadi pumzi ukiachia tuuu............... ujue kitu kinamwagika! ikifika steji hii hata customer care desk pale posta unaweza achia kitu mambo ya fine tutaongea badae
 
Mkuu Ungekuwa ungekuwa unasindikiza na chorus hivi... Maana sio kwa hiyo beat
 
Ha ha ha ha duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…