chief zuma
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 229
- 144
Hii imenitokea juzi nikiwa na mishe zangu mjini morogoro
Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji23] pole sanaNilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
ww vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una ugomvi nao au?usiombee kuingia vyoo vya Polisi kota, ni vichafu mno yaani utadhani vinatumiwa na masokwe .
Ni vyoo vya kulipia, visafiiiiUna ugomvi nao au?
Hebu nenda ukaangalie vyoo vya maeneo yafuatayo harafu linganisha na hicho ulichokisema
Shule za msingi haswa za vijijini
Masoko makubwa ya mijini
Stendi za mabasi
Ni vyoo vya kulipia, visafiiiiUna ugomvi nao au?
Hebu nenda ukaangalie vyoo vya maeneo yafuatayo harafu linganisha na hicho ulichokisema
Shule za msingi haswa za vijijini
Masoko makubwa ya mijini
Stendi za mabasi
Mkuu Ungekuwa ungekuwa unasindikiza na chorus hivi... Maana sio kwa hiyo beatNilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Poa upo [emoji23]ww vipi [emoji23]
mm nipo sijamaanisha salam ujue nataka kujua ww kuhusu tumbo la kuhara ilikuaje [emoji23]Poa upo [emoji23]
Ha ha ha ha duhNilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu