Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

William J. Malecela vp upo eneo la Msiba?...over

Na Je Msiba ni Super?... Over

Unazungumziaje kifo cha Mgogo mwenzio?...over
 
RIP. MATONYA. SASA N.G.O, ZIANDIKE MIRADI ZIENDE KUMZIKA MZEE WA WATU AMBAE MPAKA ANAKUFA SIJUI KAMA WATU WANAJUA KUA ALIKUA ANAPIGANIA NINI? NADHANI ALIWAWAKILISHA VIZURI WATU MASIKINI WALIO DHARAULIWA NA KUSAHAULIWA NCHINI TANZANIA. KAMA NI RAHISI JARIBU WEWE KUJiFANYA MATONYA.
 
Matonya epitomized the spirit of what the nation has become in word and deed, a spirit of unflinching dependency on "alms". It is only right and proper that we emblem him alongside jk on special issue note or stamp. RIP Matonya.
 







“Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia leo kijijini kwakwe Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo.

Habari ziwafikie, Mkuu wa Wilaya Betty Mkwasa, Familia ya Mzee Makamba popote walipo, wakazi wa Dar na Moro pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote. Bila ya kusahau wale wa eneo la Darajani Mjini Morogoro” Hebal Chidawal Mwandishi wa habari Dodoma



Jitihada za kupata habari zaidi zinaendelea

R.I.P. Matonya. tungejua mafanikio yake katika mradi wake wa kuomba ingekuwa njema zaidi.
 
Sahihisho la sahihisho: Hakuna mtu alikwenda Mbinguni kabla ya Ukombozi. Milango ya Mbinguni ilifungwa wakati wazazi wetu wa kwanza walipoasi, na msamaha ulipatikana baada ya Sadaka ya Kalvari.

Akina Elijah walikwenda kuzimu, na sio Mbinguni, kusubiri Ukombozi.

2Fal 2:11
Eliya akapanda MBINGUNI kwa upepo wa kisulisuli
 
Hakika nimekumbuka mbali tangu enzi hizo nchi hii ikiwa free from mafisadi.
RIP Matonya.
 
RIP fellow ccm victim MATONYA

Sahihisho kidogo: Siyo kweli kwamba kila nafsi itaonja mauti!!! Enock na Elijah walichukuliwa kwenda mbinguni wakiwa hai hawakuonja mauti na siku Yesu mwana wa Mungu aliye hai atakaporudi wafuasi wake watakao kuwa hai siku hiyo hawatakufa bali watanyakuliwa mawinguni bila kuonja mauti. Believe in him who gives life, he came so that they may have life and have it more abundantly

mkubwa ubarikiwe, lakini Mungu aliyesema kila nafsi itaoonja mauti, siyo sawa na MUNGU aliyesema watu kutokuonja mauti. They are two GODS, in which one stand for ever
 
Ombamba maarufu kuliko wote Nchini Tanzania maarufu kwa jina la Matonya amefariki duniani usiku wa kuamkia jana kijijini kwake mpamantwa wilaya ya bahi mazishi yatafanyika leo jumamosi saa 1o jioni kijijini hapo

we unacomment au vp
 
Sahihisho la sahihisho: Hakuna mtu alikwenda Mbinguni kabla ya Ukombozi. Milango ya Mbinguni ilifungwa wakati wazazi wetu wa kwanza walipoasi, na msamaha ulipatikana baada ya Sadaka ya Kalvari.

Akina Elijah walikwenda kuzimu, na sio Mbinguni, kusubiri Ukombozi.

Taratibu Mkuu take your time! Take your time!!!!! OK! soma biblia Mwanzo: 5:21 - 24 (for Enock) na Wafalme 2 chapter 2:11 - 12 (for Elijah). Habari ya ukombozi na mlango wa mbinguni kufungwa baada ya Adam kuasi mimi sielewi, sijui imeandikwa wapi????? au ulimaanisha kufungiwa mti wa uzima uliokuwa kwenye bustani ya Eden, maana baada ya kuasi mti wa uzima ulilindwa kwa panga za moto kuwazuia wasile matunda yake ili mtu mwenye dhambi asije akala matunda yale na kuishi milele dhambini. Ninacho jua ni kuwa siku moja Yesu aliwachukua Peter, John na James akaenda nao mlimani, huko alibadilika sura na kuuvaa utukufu wake, walimwona Yesu akiongea na Elijah na Moses na Peter alisema Bwana mahala hapa ni pazuri turuhusu tujenge vibanda vitatu vya kuishi chako, cha Elijah na cha Moses! Mathayo: 17:1 - 7.

Mheshimiwa Elijah na Enock hawapo kuzimu wako mbinguni. Swali kwako: Watakatifu ambao watakuwa hai siku ya mwisho wa dunia siku ambayo Yesu atarudi, je hawataenda mbinguni bila kufa??????? Kwenye yale mazungumzo ya Yesu pale mlimani, Elijah alikuwa anawakilisha kundi la watakatifu watakaoenda mbinguni bila kufa na Moses lile la wafu watakaofufuliwa siku ya kiama. Ubarikiwe! " the truth shall set you free"
 
Buriani Mzee Matonya,serikali iliyokupiga marufuku kuomba omba yenyewe bado inatembeza bakuli kama hawana akili nzuri vile!
 
Inna li Lllahi wa Inna Illahi Rajiun.

Huyu ni mmoja katika watu maarufu sana Tanzania kwa profession zao. Namkumbuka toka alipokuwa Dar.
 
Back
Top Bottom