Hakuna mtu hapa duniani anayeweza kukudharau Kama hujamruhusu.
Kukuogopa wanaweza
Kukuchukia wanaweza Ila kukudharau mpaka umpe ruksa wewe binafsi.
Mfano Bujibuji unaendesha Benz Mimi Sina gari, Kama sijajuomba lift, nakomaa na mwendokasi, wewe ukinywa Hennessy nakomaa na konyagi, ukiagiza kitimoto roast naagiza makongoro ya kitimoto Ila sijakuomba, umekaa bar na mwanamke mwenye chura Mimi na kiflati screen changu inch 32. Siongei na wewe na sitaki maongezi na wewe. Utaanzaje kunidharau. Sana sana utakua unaumia roho ukiona baby wangu alivyokua na amani kwa kutopenda makuu.