Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
 
Wazee watawalao vyema wanastaili heshima
 
Tunaambiwa wazee wataota ndoto na vijana wataona maono. Uzee ni busara na hekima, ni uwezo wa ku foresee what is coming ahead, sasa unapokuwa Mzee na ukashindwa kujua athari ya maneno yako tuu hapo yakupasa kuomba neema na rehema kutoka kwa Mungu.

Vijana wanapata maono kupitia hekima na busara za wazee, ndoto za wazee zinawapa maono vijana, je si halali kwa vijana kusema haya maono kupitia ndoto za Mzee asiye na busara hazifai?
 
Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
Bogus wewe....kama uzee ndio huo wa kutukana wenzio basi ni upuuzi mtupu...ukitaka kuheshimiwa na wewe chunga mdomo....usitegemee uongee ujinga alafu watu wakae kimya Never..
 
Back
Top Bottom