Tunaambiwa wazee wataota ndoto na vijana wataona maono. Uzee ni busara na hekima, ni uwezo wa ku foresee what is coming ahead, sasa unapokuwa Mzee na ukashindwa kujua athari ya maneno yako tuu hapo yakupasa kuomba neema na rehema kutoka kwa Mungu.
Vijana wanapata maono kupitia hekima na busara za wazee, ndoto za wazee zinawapa maono vijana, je si halali kwa vijana kusema haya maono kupitia ndoto za Mzee asiye na busara hazifai?