Nyumbu wapo msituniHakuna kitu kinaniuma kama kuona watu mnawakataza nyumbu kuandamana, hawa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali waacheni waandamane ili serekali ipate kibali cha kuwapeleka akhera kuwalealea wakaendelea kubaki hai huku hawana faida yoyote ni hasara kwa taifa.
Nyumbu tokeni msisikilize huu ushauri.
Huyu katumwa. Ujumbe umefikaje kama samuya bado hajaachia ngazi? Ujumbe umefikaje kama ndio kwanza utekaji unashamiri?We mpumbavu ujumbe umefika kwa kuuliwa ndugu zetu na unataka tunyamaze huku wakitukejeli na kuchukulia ni sawa walichokifanya?!!
Hao wauwaji wanaweza kujipeleka jela wenyewe? Unaijua haki tunayoitaka kwanza?
Wewe ni takataka, kwamba kwa kuwa madai hayo hayakutatuliwa na watangulizi wa Samia, basi wananchi wakae kimya. Utakuwa na matope kichwani, elewa kuwa wakati, mazingira, na aina ya Watu hubadilika.Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
Weka matako yako hapa ukiwa umevaa bikini tuone kama hujapandikizwa umama.Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
Pumba tupu.Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Mpaka watoke madarakani au waitishe uchaguzi mwingineOmbi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Kama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaachaKwa hiyo kama yalikuwepo kwa marais waliopita hatuna haki tena ya kuyadai?
mie nawatakia R.I.P in advance magaidi na mamluki woteOmbi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.
Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.
Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.
Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.
Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.
Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Tafadhari usiingize mjadala kwenye ishu ya udini wala siyo lengo ya post yangu. Siyo jdmbo jema kutengeneza mazingira ya kutofaitiana. Sijdona kosa la teki na Samia siyo Rais wa waislamuKama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaacha
Subiri raisi ajaye lazima atakuwa kibaraka wa TEC na hayo madai yenu atayakuta tutakusaidieni kuandamana kumtoa madarakani
Kumbe huna akili eeh?Kama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaacha