Kama akina Nasari na Lijualikali ndio vijana Bora tubaki na wasira wetu, hule mdada aliomburuza mbowe Hadi kateguka mguu ntashangaa mno akirudi bungeni, kila siku Kuna kelele ya rushwa ya ngono kwenye siasa unadhani wanaotoa ni mama tibaijuka? No! Ni hao vijana wenuTatizo hao vijana ni kama akina Nape, Makamba, ambao wamejaa tamaa, au akina Sojo yule mnec wa Songwe. Ni bora wazee wanaoelewa mfumo kikubwa na vijana kuwa chini ya wazee ili kuwa control mihemuko.
Kama akina Nasari na Lijualikali ndio vijana Bora tubaki na wasira wetu, hule mdada aliomburuza mbowe Hadi kateguka mguu ntashangaa mno akirudi bungeni, kila siku Kuna kelele ya rushwa ya ngono kwenye siasa unadhani wanaotoa ni mama tibaijuka? No! Ni hao vijana wenuTatizo hao vijana ni kama akina Nape, Makamba, ambao wamejaa tamaa, au akina Sojo yule mnec wa Songwe. Ni bora wazee wanaoelewa mfumo kikubwa na vijana kuwa chini ya wazee ili kuwa control mihemuko.
Apumzike tu tuwe na wapya jamani vizee vimwekwisha habari yake, hata hivyo ubunge unaongeza ajira ya mudaKwenye baraza zima la mawaziri mzee Mkuchika ndiyo anajitambua peke yake
labda tuanzie miaka gani, maana wengine wamekwisha kabisa ndio mnatuletea wakasinzie bungeniWazee ni hazina, tuwatumie ili mambo yaende.....
Vijana unaowaongelea hapa ni vijana gani labda wenye hizo busara....[emoji848] kina lusinde, lijualikali na wengine wanaowafanana
Namhsheimu sana huyu mzee kwa busara.Kwenye baraza zima la mawaziri mzee Mkuchika ndiyo anajitambua peke yake
labda tuanzie miaka gani, maana wengine wamekwisha kabisa ndio mnatuletea wakasinzie bungeni
ubunge ushakuwa ajiara angalau akikaa miaka kumi atemwe waingie wengine ili ile hela aliyopewa afanye investiment sio kurudi bungen kuzitumia na vimadaNaunga mkono hoja wazee kuanzia 65 na kuendelea wangestaafu siasa...
Na wale waliokaa bungeni zaidi ya miaka 10 bila maendeleo jimboni Ni wa kukatwa ktk kura za maoni...
Alafu inasikitisha kijana anatetea wazee waendelee kuwepo ktk siasa huku umri wao umeshapitwa na wakati (expired)...
Tena walijenga nchi kwa moyo na bidii.
Leo watu hawajui kuwa nyumba iliyokuwa na thamani ya Tshs 100,000/= wakati huo zilitaifishwa na ndio mwanzo wa Shirika la Msajili wa Majumba sasa National Housing Corporation.
Ilikuwa mtu huruhuhusiwi kuwa na nyumba zaidi ya moja.
Miaka mitatu/minne iliyopita mtu anaitwa Masamaki wa TRA amekutwa ana nyumba 83 za kwake mwenyewe!
Halafu kizazi hiki kinawasonga wazee waliowatunzia nchi!
Come on.
Busara za wazee zinahitajikaApumzike tu tuwe na wapya jamani vizee vimwekwisha habari yake, hata hivyo ubunge unaongeza ajira ya muda
Wazee zaidi ya miaka 60 wapewe heshima zao kwa kulitumikia Taifa kwa uaminifu.Wazee wanatakiwa kupumzika kwa heshima au shuruti waachie wengine sio Hadi wafie ktk majukwaa au mikutani ya siasa...
Alafu hapa juu hoja zako haziendani na hii mada... Utaifishaji na uvunjifu wa Sheria havihusiani na umuhimu wa wazee ktk siasa... Jiulize Chenge na Mkono Wana miaka mingapi?
YapNamhsheimu sana huyu mzee kwa busara.
Na added advantage alikuwa mwalimu, kwa hiyo na saikologia nzuri sana namna ya kudeal na watu.
Wamekusikia wakikuelewa watabadirikaUzee is a state of mind. Watu Kama kibajaji, msukuma, lusinde, ndugayi.. nk, bila kujali miaka waliozaliwa, ni wazee Sana kimawazo.
Au humu jf, watu km magonjwa mtambuka, stroke, bia yetu, kawe alumni..nk Hawa akili zao ni za kizee mno. Watu sampuli hi ndo wa kupiga chini fasta maana hawanaga jipya siku zote, kazi yao Ni moja tuu: KUSIFU hata panapostahili kukosoa
Awapige chini kwa kutumia kufungu kipi ama kanuni ipi ya chama?
Acheni kuongoza chama mnavyotaka ninyi; CCM ni mali ya wote hata hao wazee mnaowatenga... kwani ndiyo waliowakabidhi nchi.