Kama akina Nasari na Lijualikali ndio vijana Bora tubaki na wasira wetu, hule mdada aliomburuza mbowe Hadi kateguka mguu ntashangaa mno akirudi bungeni, kila siku Kuna kelele ya rushwa ya ngono kwenye siasa unadhani wanaotoa ni mama tibaijuka? No! Ni hao vijana wenuTatizo hao vijana ni kama akina Nape, Makamba, ambao wamejaa tamaa, au akina Sojo yule mnec wa Songwe. Ni bora wazee wanaoelewa mfumo kikubwa na vijana kuwa chini ya wazee ili kuwa control mihemuko.