My point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya juda huo hataweza kuzi access mpaka muda utimie.
Mfano: Mnaweza kudesign program/operation ambayo mtu anaweka tarehe ya kuanza kuweka saving yake aliyoikusudia kwenye KABUBU ya simu/mtandao na kuwa hatazitoa mpaka tarehe fulani aliyojipangia. Hii itasaidia kuondokana na "technology" ya zamani ya kabubu za mbao ambazo zimepitwa na wakati.