Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
huko wekeni wenyewe tozo zimekuwa kubwa sana,nikijenga nyumba yangu nitatengeza sehemu ya siri ya kuhifadhi hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta ugomvi na mafundi seremalaMy point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya juda huo hataweza kuzi access mpaka muda utimie.
Mfano: Mnaweza kudesign program/operation ambayo mtu anaweka tarehe ya kuanza kuweka saving yake aliyoikusudia kwenye KABUBU ya simu/mtandao na kuwa hatazitoa mpaka tarehe fulani aliyojipangia. Hii itasaidia kuondokana na "technology" ya zamani ya kabubu za mbao ambazo zimepitwa na wakati.
Mbona M-PAWA ina zaidi ya miaka 7! tigo nao wana tigo kibubu.
enzi hizo nilitengenezaga kibubu cha chuma nilipataga shida hiyo, nilivyoenda kwa mhunzi akasema labda tuchome moto ili kilainike.
wadau kumbe hizi nyekundu haziungui kirahisi kama makaratasi.
Kibubu hakipaswi kuwa na sifa ya kuchomoa hela kila unapohitajiYes, unatoa.
Halotel walikuwa nacho toka zamani unaweka target unaanza hifadhi ukitaka kutoa ela kabla ya muda ulioweka na ikiwa haijatimia mpaka uende ofsin kwao kama target inafka unaweza toa tu na haikuwa na makato ilikuwa kabla ya tozoMy point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya juda huo hataweza kuzi access mpaka muda utimie.
Mfano: Mnaweza kudesign program/operation ambayo mtu anaweka tarehe ya kuanza kuweka saving yake aliyoikusudia kwenye KABUBU ya simu/mtandao na kuwa hatazitoa mpaka tarehe fulani aliyojipangia. Hii itasaidia kuondokana na "technology" ya zamani ya kabubu za mbao ambazo zimepitwa na wakati.
Yani mimi siwez kuweka pesa ikatimia wakati nna access ya kuitoa. Nikililiwa shida tu na ndugu naenda kuichomoa 😀 kimachoniweza ni fixed acc tuNext time usihangaike na Vyuma, tumia hata Makopo ya Dawa ya Mbu nayo mi mazuri sana kufanyia Kibubu, Dawa imiisha unalitoboa pembeni unakuwa unaweka chenji chenji,
naomba menu yaoKwa wale wa tiGO tayari kweli wameshatengeneza tiGO Kibubu ambapo unaweka kiachi chochote cha pesa kuanzia sh. 100/=