Mimi hata kibubu cha chuma huwa navunja nikifulia!!My point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya juda huo hataweza kuzi access mpaka muda utimie.
Mfano: Mnaweza kudesign program/operation ambayo mtu anaweka tarehe ya kuanza kuweka saving yake aliyoikusudia kwenye KABUBU ya simu/mtandao na kuwa hatazitoa mpaka tarehe fulani aliyojipangia. Hii itasaidia kuondokana na "technology" ya zamani ya kabubu za mbao ambazo zimepitwa na wakati.
Kwa wale wa tiGO tayari kweli wameshatengeneza tiGO Kibubu ambapo unaweka kiachi chochote cha pesa kuanzia sh. 100/=Tigo tayari wanacho Kibubu Long time, ingia kwenye Menu yao utaona
Kampuni zinafaidi sana watalichukua hilo fastaMy point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya juda huo hataweza kuzi access mpaka muda utimie.
Mfano: Mnaweza kudesign program/operation ambayo mtu anaweka tarehe ya kuanza kuweka saving yake aliyoikusudia kwenye KABUBU ya simu/mtandao na kuwa hatazitoa mpaka tarehe fulani aliyojipangia. Hii itasaidia kuondokana na "technology" ya zamani ya kabubu za mbao ambazo zimepitwa na wakati.
Next time usihangaike na Vyuma, tumia hata Makopo ya Dawa ya Mbu nayo mi mazuri sana kufanyia Kibubu, Dawa imiisha unalitoboa pembeni unakuwa unaweka chenji chenji,Mbona M-PAWA ina zaidi ya miaka 7! tigo nao wana tigo kibubu.
enzi hizo nilitengenezaga kibubu cha chuma nilipataga shida hiyo, nilivyoenda kwa mhunzi akasema labda tuchome moto ili kilainike.
wadau kumbe hizi nyekundu haziungui kirahisi kama makaratasi.
M pawa ina access ya kutoaMbona M-PAWA ina zaidi ya miaka 7! tigo nao wana tigo kibubu.
enzi hizo nilitengenezaga kibubu cha chuma nilipataga shida hiyo, nilivyoenda kwa mhunzi akasema labda tuchome moto ili kilainike.
wadau kumbe hizi nyekundu haziungui kirahisi kama makaratasi.
M koba unatoa na ni kwaajili ya vikundiVoda wana mpawa na mkoba
Yes, unatoa.M pawa ina access ya kutoa