Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

huko wekeni wenyewe tozo zimekuwa kubwa sana,nikijenga nyumba yangu nitatengeza sehemu ya siri ya kuhifadhi hela
 
Unatafuta ugomvi na mafundi seremala
 
Kibubu Cha chuma.
Mwenzie msumeno wa nondo.
Huko kwenye cutting disk mbali sana
 
Hizo hela unazoweka kwenye bubu unakuwa hauna taarifa zake ni kiasi gani kilichopo kwenye hilo bubu???
 
Halotel walikuwa nacho toka zamani unaweka target unaanza hifadhi ukitaka kutoa ela kabla ya muda ulioweka na ikiwa haijatimia mpaka uende ofsin kwao kama target inafka unaweza toa tu na haikuwa na makato ilikuwa kabla ya tozo
 
Next time usihangaike na Vyuma, tumia hata Makopo ya Dawa ya Mbu nayo mi mazuri sana kufanyia Kibubu, Dawa imiisha unalitoboa pembeni unakuwa unaweka chenji chenji,
Yani mimi siwez kuweka pesa ikatimia wakati nna access ya kuitoa. Nikililiwa shida tu na ndugu naenda kuichomoa 😀 kimachoniweza ni fixed acc tu
 
Hapa watu wanaongelea vibubu ambao ni accesible, yani you can withdraw your saving anytime, Sisi hatutaki cha ivo tunataka ambacho you can only deposit, Until stated time reach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…