rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Wakuu habari.
Natoa ombi maalum kwa makampuni ya simu yote nchini ambayo yalikata au yalisitisha upatikanaji wa internet kwa baadhi ya social media Kama Whatsapp , Instagram, Twitter , Facebook and so on.
Siku ili mliyotindiganya mambo watu tulikuwa tumejiunga na mabundle ya internet, wengine social bundles n.k....mimi nilikuwa nimejiunga la siku saba., Hela ililiwa na internet hakuna.
Ninawaomba mtufidie angalau 48hrs za internet free au kama mtakavoona inafaa na itawaridhisha wateja wenu.
Tafadhali sana Vodacom, Halotel, Airtel , Togo n.k.
Tufikirieni