Ombi kwa mitandao ya simu kuhusu suala la intaneti iliyokatwa

Ombi kwa mitandao ya simu kuhusu suala la intaneti iliyokatwa

Unaomba kufidiwa badala ya kuwashitaki,
Ni haki yako kupata huduma,na ikitokea hujatendewa haki nenda kaishtaki kampuni husika.
 
Hapa mimi napata jf free basics ...... Huduma kama Whatsapp natuma picha kwa shida mno.....

Cha kushangaza XVIDEOS ..... Inapatikana bila scratch, sasa nashindwa kuelewa vipaumbele vyetu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Piganyeto
 
Hapo Ni Bila Bila.

Na soon watapandisha gharama kufidia siku ambazo watu hawakutumia maana yalipata hasara pia!
 
Watanzania hamjielewi, haya makampuni ya simu yote ni ya mabeberu, haya makampuni hayawezi kutufidia kwasababu wakati CCM wanafanya mchezo mchafu makampuni haya yalikuwa ni wasaidizi wa CCM, Yana baraka zote za CCM na nyie watumiaji wa mwisho hamwezi kwenda kulalamika popote. Full stop
Ndo ukweli japo mchungu😡🤔
 
Hapa mimi napata jf free basics ...... Huduma kama Whatsapp natuma picha kwa shida mno.....

Cha kushangaza XVIDEOS ..... Inapatikana bila scratch, sasa nashindwa kuelewa vipaumbele vyetu.
[emoji16][emoji16][emoji16] tumia hiyohiyo inayopatikana mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tumia hiyohiyo inayopatikana mkuu
Please mkuu...... First born Sasa Ni 15yrs na ni F3 na ni female..... By the way nimejaliwa all females .... Sasa naonaga hata kinyaa kutazama hayo mambo thinking of my daughters
 
Please mkuu...... First born Sasa Ni 15yrs na ni F3 na ni female..... By the way nimejaliwa all females .... Sasa naonaga hata kinyaa kutazama hayo mambo thinking of my daughters
Sasa mkuu umejuaje inafanya kazi kama hutumii?
 
TCRA inachukua amri kutoka kwa Nani? Huyo mtoa amri ndio unatakiwa umuombe. Kuna tetesi Ni msikivu, mpenda watu hasa wanyonge, mtu wa dini sana zaidi ya sala tano, Hana makuu na sio mwizi.
Hell no
giphy.gif
 
Kwanza hata hii mitandao ni hisani tu,,au mnabisha?..😁😁
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Please mkuu...... First born Sasa Ni 15yrs na ni F3 na ni female..... By the way nimejaliwa all females .... Sasa naonaga hata kinyaa kutazama hayo mambo thinking of my daughters
Uangalie usiangalie watatiwa tu,maana hio ni haki yao ya msingi.

Tena unakuta waume zao ndio mashabiki wakina Mandingo,Mia khalifa etc.Utakubali mziki tu.
 
Ninawaomba mtufidie angalau 48hrs za internet free au kama mtakavoona inafaa na itawaridhisha wateja wenu.
Ukienda kununua line kuna kifuko kina maandishi madogo Sana huwa hamuyasomi
 
Back
Top Bottom