Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Aambiwe hivi namba unayopiga itapatikana hivi punde tafadhali subiriNa badala yake aambiweje huyo mpigaji
Waache iite tu kama kaida, kama ni usiku ikikata aambiwe mteja unayempigia amelala, atakupigia akiamka. Kama ni mchana aambiwe mteja yupo busy na kaziNa badala yake aambiweje huyo mpigaji
Unawekaje call waiting mkuu ?Mleta mada weka call waiting ili ukipigiwa simu ifike kwako uamue kuikata ile ya mwanzo upokee hiyo nyingine au uamue kumalizana na yule wa mwanzo lakini utakuwa umeiona simu iliyoingia, utamtafuta wakati mwingine.
Call waiting si bado anayepiga ataambiwa, namba unayopiga inatumika kwa sasa!?Mleta mada weka call waiting ili ukipigiwa simu ifike kwako uamue kuikata ile ya mwanzo upokee hiyo nyingine au uamue kumalizana na yule wa mwanzo lakini utakuwa umeiona simu iliyoingia, utamtafuta wakati mwingine.
Inategemea na simu mkuu kwa sisi wakorea unafanya hivi, unaenda pale kwenye dial button halafu unafungua settings kisha call settings kisha supplementary settings, ladha yote iko hapo mkuu.Unawekaje call waiting mkuu ?
Lakini wakati huo inaita kwake mkuu, utaona malalamiko yake hapo ni kukosa michongo ya maana kwasababu akipigiwa simu haiiti.Call waiting si bado anayepiga ataambiwa, namba unayopiga inatumika kwa sasa!?