Ombi kwa mitandao ya simu

Ombi kwa mitandao ya simu

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
2,026
Reaction score
5,299
Najua kuna baadhi ya mitandao ya simu wahusika wake wapo humu.

Ombi langu, kama mnaweza ondoa ile huduma ambayo kama mtu anaongea na simu nyingine halafu akapigiwa, kusiwepo na ile "the number you're calling is busy..... namba unayopiga inatumika kwa sasa....."

Huu ujumbe umekaa kisnitch sana, umeharibu michongo mingi sana. Hadi nimeleta huu uzi mjue mmeniharibia sana ☹☹☹
 
Kaa tu ukikaa kimchongo Mchongo ila jua tu kuna Mchongo tu utakushinda
 
Mleta mada weka call waiting ili ukipigiwa simu ifike kwako uamue kuikata ile ya mwanzo upokee hiyo nyingine au uamue kumalizana na yule wa mwanzo lakini utakuwa umeiona simu iliyoingia, utamtafuta wakati mwingine.
Call waiting si bado anayepiga ataambiwa, namba unayopiga inatumika kwa sasa!?
 
Unawekaje call waiting mkuu ?
Inategemea na simu mkuu kwa sisi wakorea unafanya hivi, unaenda pale kwenye dial button halafu unafungua settings kisha call settings kisha supplementary settings, ladha yote iko hapo mkuu.
Screenshot_20230117-063025_Call settings.jpg
 
Call waiting si bado anayepiga ataambiwa, namba unayopiga inatumika kwa sasa!?
Lakini wakati huo inaita kwake mkuu, utaona malalamiko yake hapo ni kukosa michongo ya maana kwasababu akipigiwa simu haiiti.
 
Back
Top Bottom