Ombi kwa Nasreddine Nabi kuelekea Mechi ya Marumo

Ombi kwa Nasreddine Nabi kuelekea Mechi ya Marumo

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Kesho naomba Kocha Mkuu wa Yanga aanze na kikosi hiki ili tuweze kuzuia na kupata ushindi;

1. Diara
2. Djuma Shabani
3. Kibwana Shomari
4. Bacca
5. Mwamnyeto
6. Sureboy
7. Mzize
8. Aucho
9. Mayele
10. Mudathir
11. Farid Musa

Substitute;
1. Metacha mnata
2. Dickson Job
3. Lomalisa Mutambala
4. Bangala Litombo
5. Zawadi Mauya
6. Aziz Ki
7. Musonda
8. Moloko Jesus
9. Kisinda

Kesho Nabi ananza na mfumo wa 3-5-2-1

Itakuwa hivi;

1. Diara
2. Dickson Job
3. Lomalisa
4. Bacca
5. Mwamnyeto
6. Aucho
7. Moloko
8. Mudathir
9. Mayele Fiston
10. Aziz Ki
11. Farid Musa

Yote kwa yote naitakia Yanga Ushindi.
 
Nikusaidie kitu kimoja.
Yanga inakwenda na wazo la kulinda ushindi wake Kwanza halafu wazo la pili ni kuimarisha ushindi wake. Kwa hiyo tegemea viungo 3 asilia kuanza hii Mechi huku kiungo mmoja akiwa back up ya defence. Ikiwa hivyo usitegemee Bangala kuwa benchi.
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Back
Top Bottom