Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nimeskia true boy yupo kwenye mchakato wa kutoa remix ya WAPO. Na kasema kwenye remix tutegemee wasanii sio chini ya watatu. Wasanii hao ni nani na nani?
Mimi ninakaombi tu kwa ney fanya wawepo hawa jamaa track itanoga saana. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
1. ROMA
2. BAGHDAD
3. NIKK MBISHI.
4. KALA JEREMIAH
Mimi ninakaombi tu kwa ney fanya wawepo hawa jamaa track itanoga saana. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
1. ROMA
2. BAGHDAD
3. NIKK MBISHI.
4. KALA JEREMIAH