Roma hawezi kuleta mzaha kwenye mambo ya msingi muamini!Mkuu ROMA asipoingiza mambo ya K ni K . Aseeh itakuwa track ya karne
Ha ha ha ha ha pale kwenye viongoz wengne wana maswala ya kitheeeeHahaha... mzee itakuwa ni hatari saana.
Hapa mkulu atapeleka jeshi kabisa kwenda kwasaka
acha tusubirie mkuu maana nahisi watampeleka kiko moja kwa mojaNa ney kasema track habadilishi chochote labda kuongeza tu. Hilo patashika silipatii picha aseeeh
Ha ha ha ha acha tuanze kumuongezea mistar kabisaaWapoooo. Ndiyo remix imeanza nini
Umemsikia Nye kasema unaweza kujikuta centralIla ROMA anajua kusoma alama za nyakati aseeh.
Maana jamaa kwa kuichana serikali hapana sio wa nchi hii
Ha ha ha ha et unajiona ndugu yake na yethuuHaha yeah kwenye track kasisitiza kabisaa.
Japo Bashite itakuwa imemuuma balaa.
Eyoo mheshimiwa hivi unamjua BASHITE?
Naskia hili ni jipu jipya toka CALL ME J??????[emoji16][emoji16]