Siku moja tu acha wogaCentro pagumu jo
Kumkata nani...
Ney au...
Umeona enhee halafu basata wataifungia fastaaa
Siku moja tu acha woga
Ha ha una wazimu weweHivi bado hajapatikana Bonny rap na Daby rap kweli
Ha ha ha ha ntakusindkzaHuko sitaki kupotea japo njia napaogopa sana
Kwani si hata magufuli kamshauri asitoe bali aongeze.Na ney kasema track habadilishi chochote labda kuongeza tu. Hilo patashika silipatii picha aseeeh
Ha ha una wazimu wewe
Wazimu una passport kabisaTena huu wazimu si wa nchi hii umevuka boda[emoji12][emoji12]
Ha ha ha ha ntakusindkza
Nyie hamna shida sie marinda soooAnza kwanza wew halafu nitakuletea chakula.teh
BadoSi bado hawajaonana na magufuli au! Akienda kwenye ukaribisho lazima pale kwenye unajiona ndugu yake yethuu aambiwe hapa piga chini
Wazimu una passport kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila kitu...na muhuri unagongwa kila mara.tih
Dabyrapa mazereu hayoNamwangalia tu
Namwangalia tu
Nyie hamna shida sie marinda sooo