Ombi kwa rais JPM, watu wa Kondoa tunataka Kondoa iwe mkoa.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Kiuhalisia Kondoa ni kubwa sana, ukiangalia manyara ina sehemu ndogo ukilinganisha na kondoa.

Kondoa ilikuwa na majimbo mawili awali, ikaja ikagawanywa kuwa majimbo matatu. Chemba, kondoa mjini na kondoa vijijini. Hii ni kuonesha Kondoa ilivyo kubwa.

Huu waraka naomba rais ukiuona ufanyie kazi kwa jicho la pili.

Kondoa ikiwa mkoa , hata uchumi utakuwa , miundombinu pamoja na mambo mengine.

Kama kuna mtu anaweza nikutanisha na rais jpm naomba afanye hivo.

Wabunge wote naona wamelala.

Nawasilisha

By

Young

Dimaa.
 
Mkoa wa Manyara ni mkubwa sana Hivi unaijua Manyara we Mrangi au unaongea Manyara National park.
 
Khaaaaa wagogo na warangi mnapenda dezooooo
Mmepewa jiji bila hata kuwa na stend....mnataka na mkoa tena!?
 
Kondoa inastahili kuwa mkoa,enzi za mbunge zabena muhita alilisema hilo serikali ikaona bora wagawe majimbo matatu yaani chemba,kondoa mjini na kondoa kaskazini
 
Mkoa wa Manyara ni mkubwa sana Hivi unaijua Manyara we Mrangi au unaongea Manyara National park.
Kondoa kubwa sana, ukubwa wa manyara ni upi?
 
Kondoa inastahili kuwa mkoa,enzi za mbunge zabena muhita alilisema hilo serikali ikaona bora wagawe majimbo matatu yaani chemba,kondoa mjini na kondoa kaskazini
Wanaidhoofisha sana kondoa
 
ngoja tukimaliza front page za uzinduzi tutaamia front page za kupandisha hadhi kwanzia vijiji mpk huko kwenye mikoa
 
Kondoa inastahili kuwa mkoa,enzi za mbunge zabena muhita alilisema hilo serikali ikaona bora wagawe majimbo matatu yaani chemba,kondoa mjini na kondoa kaskazini
Inamapato kiasi gani
 
Wilaya ya Kiteto peke yake ni kubwa kuliko Kondoa sasa weka Simanjiro,Hanang, Mbulu
Mkuu unachokiongea siyo sahihi, Kondoa mjini tu pekee huwezi fananisha na kiteto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…