dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Kiuhalisia Kondoa ni kubwa sana, ukiangalia manyara ina sehemu ndogo ukilinganisha na kondoa.
Kondoa ilikuwa na majimbo mawili awali, ikaja ikagawanywa kuwa majimbo matatu. Chemba, kondoa mjini na kondoa vijijini. Hii ni kuonesha Kondoa ilivyo kubwa.
Huu waraka naomba rais ukiuona ufanyie kazi kwa jicho la pili.
Kondoa ikiwa mkoa , hata uchumi utakuwa , miundombinu pamoja na mambo mengine.
Kama kuna mtu anaweza nikutanisha na rais jpm naomba afanye hivo.
Wabunge wote naona wamelala.
Nawasilisha
By
Young
Dimaa.