Hao ndio ma master mind mkuu, mambo mengine tuache mamlaka zifanye kazi.Hilo ndio linatakiwa lifanyiwe uchunguzi,kwa sababu inawezekana kuna watu walitumia mgongo wa hao masheikh wa uamsho kufanya hayo matukio sasa hao masheikh walivyokamatwa nao wakaacha kufanya hayo matukio,au pia ni kweli hao masheikh ndio wahusika yote yanawezekana ndio maana watu wanataka wapelekwe mahakamani ili ijulikane.
AiseeMkuu kwenye vikao vya ndani vya ACT moja ya agenda ni kuhusu masheikh wa uamsho na serikali ya Umoja wa kitaifa. Na viongozi waandamizi Walisema swala hili lazima wawili hao wakaonane nae uso kwa uso ikiwezekana wampigie magoti maana ndugu na jamaa wanawapa pressure akina mwinyi kule Zanzibar.
Na kweli walienda na jamaa kwa kua na chuki na waislamu kwa macho makavu kakataa. Sasa hao viongozi wakuu walienda chato kutalii?
Vitu vingine sio lazima uwe na PhD kuelewa
Nimesema sana wapo waliokamatwa kabla ya yeye kua RaisKwani Jiwe ndo aliwapeleka Jela? Au aliyewapeleka alikuwa Mkristo? Mbona unazusha???
Hata Kama kuna beberu aliuawa tunataka ushahidi sio eti kwa sababu wale ni masheikh na ni viongozi wa kiislamu Ndio itumike dini yao kuwatesa2013 walijichanganya wakamwagia mabeberu tindikali, ngoja wakome tena hiyo adhabu ni ndogo, Halafu kwanini lawama apewe Magufuli wakati walikamatwa kipindi waislam wanatawala serikali zote?
Kuna sheria inayosema kesi ya ugaidi haiwezi kusikilizwa na kuachwa watu wafie gerezani?Kesi ya ugaidi haina dhamana wala muda gani inasikilizwa kesi za magaidi waliopelekwa gwantanamo nyingi hadi wengine walifia magerezani!!!
Hao mashehe kesi yao ugaidi sio ushehe!!! hakuna mtu yeyote mwenye kesi ya ushehe popote Tanzania!!!
Unaushahidi wa hayo matukio au ndo umesimuliwa tu?Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini
Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Walienda na wliporudi wakasema walichozungumza ulitaka akeambieje ili uelewe?Namimi nakwambia hivi hao viongozi kuenda chato wewe unapata uhakika upi kuwa ndio walikwenda kuomba kuhusu mashekhe??
Au unataka tuamini kwasababu wewe umesema na mlikaa kikao msikitini??
Walipo kataliwa walirudi tena huko msikitini kupitia kwa mufti kuwapa habari kuwa wamekataliwa?
Wewe mataga acha upumbavu, faili la mashtaka la kwao ulilisoma?Kesi ya ugaidi haina dhamana wala muda gani inasikilizwa kesi za magaidi waliopelekwa gwantanamo nyingi hadi wengine walifia magerezani!!!
Hao mashehe kesi yao ugaidi sio ushehe!!! hakuna mtu yeyote mwenye kesi ya ushehe popote Tanzania!!!
Katoe Sasa ushahidi mahakamani ili wahukumiwe,wewe ushahidi unao,kwa Nini mahakamani hawana,?Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini
Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini
Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Ushahidi unao Kama ulivyoandika hapo juu,peleka ushahidi wako,ili hao wapelekee mahakamani kuhukumiwa,watu ndicho wanachotaka,sio kingine.Walimwagia wenzao tindikali wakaua padri wakaunguza makanisa kule zenji Leo mnataka waachiwe ningekuwa Mimi ningewanyonga kabisa
Uwe unachukia pia nawaislam wakiuwa watuUharifu gani mpaka leo hakuna kesi mahakamani? ingekuwa baba ako yupo ndani mpk leo bila kufungwa wala kufikishwa mahakani ungejisikiaje mpuuzi wewe? mimi siyo muislam lakini nachukia sn waislam kuonewa
Haki itendeke ndio maana kuna mahakama maana sio wote wenye mtazamo sawa na wako kwamba hao ndio Mastermind.Hao ndio ma master mind mkuu, mambo mengine tuache mamlaka zifanye kazi.
Walipotenda uhalifu katikati ya wahalifu wenzao ili kuficha ushahidi waliamini ndio mwisho wa uwezo wa serikali wa kutafuta ushahidi. Tunajua na sisi Kama wanavyojua wao kuficha ushahidi nasisi hatutaki ushahidi ila tunataka kuwa na nchi isiyo na ugaidi so tuvumiliane....huwezi mwagia shehe tindikali na ukaua na kujeruhi mapadri huku ukitetewa na matendo yako kufichwa na waislamu waislamu wenzio tukuvumilie tu no. Makosa uliyoyafanya na mazingira ulioyaweka yanahitahita hali hii hii ili ushike adamu.Ushahidi unao Kama ulivyoandika hapo juu,peleka ushahidi wako,ili hao wapelekee mahakamani kuhukumiwa,watu ndicho wanachotaka,sio kingine.
Kwani kujifunza kupigana ni kitu cha ajabu au tatizo ni mskiti?Msikitini mnajifunza kupigana na nani? Na mnapigania nini?
Eyce upo sahihi kwa asilimia zote, lakini kwa nini mtu anafikia kuwa kwenye msimamo mkali? Na kudhihirisha chuki zake hadharani?
hizo familia ulishawahi kuzitembelea ukakuta zina shidaNamshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha.
Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine uliowaalika kurejesha Serikali ya umoja wa kitaifa. Ni kuwakumbuka masheikh wa uamsho ambao naamini kabisa familia zao zinaishi kwa taabu na mateso na pengine kuna baadhi ya watoto wao wamekosa huduma muhimu hata ya masomi kwa kutokuwepo kwao.
Nakuomba Rais uwakumbuke binaadamu hawa ikiwa kama chachu ya ubinaadamu wako ulionza kuonekana na ambao umekusukuma kuhuisha upya Serikali ya umoja wa kitaifa.
Tukio hili liwe ni moja ya kumkumbuka almaruhuum Maalim Seif Sharif Hamad, kama kiongozi mlioketi pamoja na yeye kufuta machungu ya madhira yaliyotokana na uchaguzi mkuu uliopita 2020. Namuomba Mungu
Kama walikamatwa Zanzibar na muislam mwenzao, kwanini walihamishiwa bara Kama sio magaidi, walipokuwa wakidai kuwa wanalawitiwa jela alikuwa rais gani, wamekaa miaka mingapi kabla kikwete hajaondoka madarakani, kwanini huyo Mufti hakumwomba kikwete awaachie.Hata Kama kuna beberu aliuawa tunataka ushahidi sio eti kwa sababu wale ni masheikh na ni viongozi wa kiislamu Ndio itumike dini yao kuwatesa
Kweli walikamatwa na SMZ kabla lakini walikua wakupelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zipo kwenye hatua ya hukumu lakini aliposhika haramu mtu mwenye chuki dhidi ya waislamu na uislamu akaamrisha kesi zisimame na wateswe mpaka wafie mahabusu na kweli wameshaanza kufa mmoja mmoja