Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Hilo ndio linatakiwa lifanyiwe uchunguzi,kwa sababu inawezekana kuna watu walitumia mgongo wa hao masheikh wa uamsho kufanya hayo matukio sasa hao masheikh walivyokamatwa nao wakaacha kufanya hayo matukio,au pia ni kweli hao masheikh ndio wahusika yote yanawezekana ndio maana watu wanataka wapelekwe mahakamani ili ijulikane.
Hao ndio ma master mind mkuu, mambo mengine tuache mamlaka zifanye kazi.
 
Mkuu kwenye vikao vya ndani vya ACT moja ya agenda ni kuhusu masheikh wa uamsho na serikali ya Umoja wa kitaifa. Na viongozi waandamizi Walisema swala hili lazima wawili hao wakaonane nae uso kwa uso ikiwezekana wampigie magoti maana ndugu na jamaa wanawapa pressure akina mwinyi kule Zanzibar.

Na kweli walienda na jamaa kwa kua na chuki na waislamu kwa macho makavu kakataa. Sasa hao viongozi wakuu walienda chato kutalii?
Vitu vingine sio lazima uwe na PhD kuelewa
Aisee
 
Kwani Jiwe ndo aliwapeleka Jela? Au aliyewapeleka alikuwa Mkristo? Mbona unazusha???
Nimesema sana wapo waliokamatwa kabla ya yeye kua Rais
Lakini walikua wakupelekwa mahakamani na hukumu yao ilikua inakaribia
Lakini alivyo shika haramu na kutokana na chuki alivyokua nayo kwa waislamu na uislamu akaamrisha hizo kesi zisimame na wafie mahabusu
Hivi karibuni viongozi wakuu waandamizi walienda mpaka chato kumpigia magoti kuhusu masheikh sio kuachiwa Bali kesi zao ziende mahakamani kama wana kosa wahukumiwe kisheria kuliko kuteswa mpaka wengine wameshakufa kwa mateso
NB hakuna mtu anasema waachiwe Bali tunataka kesi zao zipelekwe mahakamani na haki itendeke
 
2013 walijichanganya wakamwagia mabeberu tindikali, ngoja wakome tena hiyo adhabu ni ndogo, Halafu kwanini lawama apewe Magufuli wakati walikamatwa kipindi waislam wanatawala serikali zote?
Hata Kama kuna beberu aliuawa tunataka ushahidi sio eti kwa sababu wale ni masheikh na ni viongozi wa kiislamu Ndio itumike dini yao kuwatesa
Kweli walikamatwa na SMZ kabla lakini walikua wakupelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zipo kwenye hatua ya hukumu lakini aliposhika haramu mtu mwenye chuki dhidi ya waislamu na uislamu akaamrisha kesi zisimame na wateswe mpaka wafie mahabusu na kweli wameshaanza kufa mmoja mmoja
 
Kesi ya ugaidi haina dhamana wala muda gani inasikilizwa kesi za magaidi waliopelekwa gwantanamo nyingi hadi wengine walifia magerezani!!!

Hao mashehe kesi yao ugaidi sio ushehe!!! hakuna mtu yeyote mwenye kesi ya ushehe popote Tanzania!!!
Kuna sheria inayosema kesi ya ugaidi haiwezi kusikilizwa na kuachwa watu wafie gerezani?
 
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini

Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Unaushahidi wa hayo matukio au ndo umesimuliwa tu?
 
Namimi nakwambia hivi hao viongozi kuenda chato wewe unapata uhakika upi kuwa ndio walikwenda kuomba kuhusu mashekhe??

Au unataka tuamini kwasababu wewe umesema na mlikaa kikao msikitini??

Walipo kataliwa walirudi tena huko msikitini kupitia kwa mufti kuwapa habari kuwa wamekataliwa?
Walienda na wliporudi wakasema walichozungumza ulitaka akeambieje ili uelewe?
 
Kesi ya ugaidi haina dhamana wala muda gani inasikilizwa kesi za magaidi waliopelekwa gwantanamo nyingi hadi wengine walifia magerezani!!!

Hao mashehe kesi yao ugaidi sio ushehe!!! hakuna mtu yeyote mwenye kesi ya ushehe popote Tanzania!!!
Wewe mataga acha upumbavu, faili la mashtaka la kwao ulilisoma?
Nani alikwambia Kama wale wanashitakiwa kwa ugaidi? Kinacholalamikiwa ni kwa Nini hawapelekwi mahakamani,na kesi zao ili zisikilizwe mwishowe wahukumiwe sio lingine,miaka yote mpaka leo ,ushahidi hamna kwa Nini
 
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini

Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Katoe Sasa ushahidi mahakamani ili wahukumiwe,wewe ushahidi unao,kwa Nini mahakamani hawana,?
Wapelekee ili urahisishe mambo
 
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini

Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena

Kama ni hivi basi waozee huko huko
 
Walimwagia wenzao tindikali wakaua padri wakaunguza makanisa kule zenji Leo mnataka waachiwe ningekuwa Mimi ningewanyonga kabisa
Ushahidi unao Kama ulivyoandika hapo juu,peleka ushahidi wako,ili hao wapelekee mahakamani kuhukumiwa,watu ndicho wanachotaka,sio kingine.
 
Uharifu gani mpaka leo hakuna kesi mahakamani? ingekuwa baba ako yupo ndani mpk leo bila kufungwa wala kufikishwa mahakani ungejisikiaje mpuuzi wewe? mimi siyo muislam lakini nachukia sn waislam kuonewa
Uwe unachukia pia nawaislam wakiuwa watu

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi unao Kama ulivyoandika hapo juu,peleka ushahidi wako,ili hao wapelekee mahakamani kuhukumiwa,watu ndicho wanachotaka,sio kingine.
Walipotenda uhalifu katikati ya wahalifu wenzao ili kuficha ushahidi waliamini ndio mwisho wa uwezo wa serikali wa kutafuta ushahidi. Tunajua na sisi Kama wanavyojua wao kuficha ushahidi nasisi hatutaki ushahidi ila tunataka kuwa na nchi isiyo na ugaidi so tuvumiliane....huwezi mwagia shehe tindikali na ukaua na kujeruhi mapadri huku ukitetewa na matendo yako kufichwa na waislamu waislamu wenzio tukuvumilie tu no. Makosa uliyoyafanya na mazingira ulioyaweka yanahitahita hali hii hii ili ushike adamu.
 
Hao masheikh wangekuwa ni wanasiasa sidhani kama wangeshikiriwa hadi leo.
 
Eyce upo sahihi kwa asilimia zote, lakini kwa nini mtu anafikia kuwa kwenye msimamo mkali? Na kudhihirisha chuki zake hadharani?

naamini tu ni kupandikizwa fikra mbovu na mtu kuzipokea nzima nzima pasipo kuzichuja na ile hali ya kupewa adui ambaye hutofanya jitihada zozote za kutaka kumjua ili kuhakikisha kama ana ubaya huo unaoambiwa.

Naamini kabisa kama tukikaa pamoja , tukajuana, tukaelewana na tukaamua kuvumiliana pale tunapokwenda tofauti kimitazamo huku tukiuhubiri utu kama msingi wa ubinadamu wetu. Sidhani kama hali hii itaweza kuendelea
 
Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha.

Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine uliowaalika kurejesha Serikali ya umoja wa kitaifa. Ni kuwakumbuka masheikh wa uamsho ambao naamini kabisa familia zao zinaishi kwa taabu na mateso na pengine kuna baadhi ya watoto wao wamekosa huduma muhimu hata ya masomi kwa kutokuwepo kwao.

Nakuomba Rais uwakumbuke binaadamu hawa ikiwa kama chachu ya ubinaadamu wako ulionza kuonekana na ambao umekusukuma kuhuisha upya Serikali ya umoja wa kitaifa.

Tukio hili liwe ni moja ya kumkumbuka almaruhuum Maalim Seif Sharif Hamad, kama kiongozi mlioketi pamoja na yeye kufuta machungu ya madhira yaliyotokana na uchaguzi mkuu uliopita 2020. Namuomba Mungu
hizo familia ulishawahi kuzitembelea ukakuta zina shida
 
Hata Kama kuna beberu aliuawa tunataka ushahidi sio eti kwa sababu wale ni masheikh na ni viongozi wa kiislamu Ndio itumike dini yao kuwatesa
Kweli walikamatwa na SMZ kabla lakini walikua wakupelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zipo kwenye hatua ya hukumu lakini aliposhika haramu mtu mwenye chuki dhidi ya waislamu na uislamu akaamrisha kesi zisimame na wateswe mpaka wafie mahabusu na kweli wameshaanza kufa mmoja mmoja
Kama walikamatwa Zanzibar na muislam mwenzao, kwanini walihamishiwa bara Kama sio magaidi, walipokuwa wakidai kuwa wanalawitiwa jela alikuwa rais gani, wamekaa miaka mingapi kabla kikwete hajaondoka madarakani, kwanini huyo Mufti hakumwomba kikwete awaachie.

Kumlaumu John ni chuki za udini, unatumia udini kumkwepesha Shein na Kikwete kwenye Hili sakata, mnadhani mtamtisha John na udini wenu
 
Back
Top Bottom