Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Halafu mjinga mmoja aliyezawadiwa uwaziri (uwezo hana!) jina Napee anamshauri Rais apuuze watu wa mtandaoni, kitendo tu cha Mama kufanyia kazi hili pekeyake kimethibitisha kwamba Waziri huyo ndo wakupuuzwa!.
Ajitafakari!.
Mungu ibariki JFNimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A. Salim. Mojawapo ya rekodi yake ni kuwa Balozi mwenye umri mdogo zaidi alipoteuliwa kuiwakilisha Tanzania 1964 huko Misri (akiwa na kama miaka 22 tu!). KUtoka hapo nyota yake ilikua na ikaangaza.
KUbwa zaidi kidiplomasia ni pale alipowakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa Baraza la Usalama wa UM na kutoa msimamo wa Tanzania ambao uliiwezesha China kuweza kupata kura ya veto - kitu ambacho China haijasahau hadi leo hii! Lakini ikumbukwe kuwa nusura angekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kwanza kutoka Afrika kama isingekuwa veto ya Marekani katika mchakato uliowagonanisha China na Marekani; zipigwa kura mara 16 hadi Dr. Salim na mpinzani wake walipojiondoa kupisha watu wengine! Mchango wake UN ni wakukumbuka! Hata alipopewa Boutros Ghali aliyekuwa anafuatia ni Dr. Salim (Ufaransa ilitishia kumveto Salim).
Lakini ndani ya nchi yetu alifanya mengi sana ambayo labda tumesahau lakini katika kipindi cha 1980 - 1986 (baada ya vita ya Uganda na ukame) alitumikia kwa nafasi nyeti kama Waziri Mkuu (baada ya kifo cha Sokoine), Makamu wa Rais na nafasi nyingine nyeti kama Waziri wa Ulinzi! Kwa baadhi yetu tunaweza kusema hakuna mtu aliyewahi kuandaliwa kuwa Rais wa Tanzania kama JMT hadi yale makorogo yaliyomharibia 1995. Nilipata nafasi ya kufanya na mahojiano naye miaka kadhaa nyuma kitu ambacho hadi kesho kilinifanya niendelee kumheshimu kwani kwa tuliokuwa vijana wa enzi hizo Dr. Salim alikuwa ni kile ambacho kinawezekana kwa kijana kujituma, kusoma na kutumikia nchi.
Ombi langu basi ni kuwa Chuo cha Diplomasia kipewe jina la Dr. Salim A. Salim na kibadilishwe jina na hadhi yake.
Pendekezo:
Salim A. Salim College for Diplomatic Studies (CDS) kutoka Centre for Foreign Relations (CFR)
A College of the University of Dar-es-Salaam
Na kiongezwe ili kutoa kozi hadi za uzamivu (kama sehemu ya UDSM) kwenye mambo ya diplomasia.
NB: Aliyetengeneza website yao (CFR) afungwe!!
Jf inaongozaHongera mkuu wazo lako limefanyiwa kazi
Halafu kitoke pale kilipo sasa kipatiwe eneo kubwa zaidi kuwezesha chuo kuwa na vitivyo vingi zaidiNimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A. Salim. Mojawapo ya rekodi yake ni kuwa Balozi mwenye umri mdogo zaidi alipoteuliwa kuiwakilisha Tanzania 1964 huko Misri (akiwa na kama miaka 22 tu!). KUtoka hapo nyota yake ilikua na ikaangaza.
KUbwa zaidi kidiplomasia ni pale alipowakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa Baraza la Usalama wa UM na kutoa msimamo wa Tanzania ambao uliiwezesha China kuweza kupata kura ya veto - kitu ambacho China haijasahau hadi leo hii! Lakini ikumbukwe kuwa nusura angekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kwanza kutoka Afrika kama isingekuwa veto ya Marekani katika mchakato uliowagonanisha China na Marekani; zipigwa kura mara 16 hadi Dr. Salim na mpinzani wake walipojiondoa kupisha watu wengine! Mchango wake UN ni wakukumbuka! Hata alipopewa Boutros Ghali aliyekuwa anafuatia ni Dr. Salim (Ufaransa ilitishia kumveto Salim).
Lakini ndani ya nchi yetu alifanya mengi sana ambayo labda tumesahau lakini katika kipindi cha 1980 - 1986 (baada ya vita ya Uganda na ukame) alitumikia kwa nafasi nyeti kama Waziri Mkuu (baada ya kifo cha Sokoine), Makamu wa Rais na nafasi nyingine nyeti kama Waziri wa Ulinzi! Kwa baadhi yetu tunaweza kusema hakuna mtu aliyewahi kuandaliwa kuwa Rais wa Tanzania kama JMT hadi yale makorogo yaliyomharibia 1995. Nilipata nafasi ya kufanya na mahojiano naye miaka kadhaa nyuma kitu ambacho hadi kesho kilinifanya niendelee kumheshimu kwani kwa tuliokuwa vijana wa enzi hizo Dr. Salim alikuwa ni kile ambacho kinawezekana kwa kijana kujituma, kusoma na kutumikia nchi.
Ombi langu basi ni kuwa Chuo cha Diplomasia kipewe jina la Dr. Salim A. Salim na kibadilishwe jina na hadhi yake.
Pendekezo:
Salim A. Salim College for Diplomatic Studies (CDS) kutoka Centre for Foreign Relations (CFR)
A College of the University of Dar-es-Salaam
Na kiongezwe ili kutoa kozi hadi za uzamivu (kama sehemu ya UDSM) kwenye mambo ya diplomasia.
NB: Aliyetengeneza website yao (CFR) afungwe!!
Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A. Salim. Mojawapo ya rekodi yake ni kuwa Balozi mwenye umri mdogo zaidi alipoteuliwa kuiwakilisha Tanzania 1964 huko Misri (akiwa na kama miaka 22 tu!). KUtoka hapo nyota yake ilikua na ikaangaza.
KUbwa zaidi kidiplomasia ni pale alipowakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa Baraza la Usalama wa UM na kutoa msimamo wa Tanzania ambao uliiwezesha China kuweza kupata kura ya veto - kitu ambacho China haijasahau hadi leo hii! Lakini ikumbukwe kuwa nusura angekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kwanza kutoka Afrika kama isingekuwa veto ya Marekani katika mchakato uliowagonanisha China na Marekani; zipigwa kura mara 16 hadi Dr. Salim na mpinzani wake walipojiondoa kupisha watu wengine! Mchango wake UN ni wakukumbuka! Hata alipopewa Boutros Ghali aliyekuwa anafuatia ni Dr. Salim (Ufaransa ilitishia kumveto Salim).
Lakini ndani ya nchi yetu alifanya mengi sana ambayo labda tumesahau lakini katika kipindi cha 1980 - 1986 (baada ya vita ya Uganda na ukame) alitumikia kwa nafasi nyeti kama Waziri Mkuu (baada ya kifo cha Sokoine), Makamu wa Rais na nafasi nyingine nyeti kama Waziri wa Ulinzi! Kwa baadhi yetu tunaweza kusema hakuna mtu aliyewahi kuandaliwa kuwa Rais wa Tanzania kama JMT hadi yale makorogo yaliyomharibia 1995. Nilipata nafasi ya kufanya na mahojiano naye miaka kadhaa nyuma kitu ambacho hadi kesho kilinifanya niendelee kumheshimu kwani kwa tuliokuwa vijana wa enzi hizo Dr. Salim alikuwa ni kile ambacho kinawezekana kwa kijana kujituma, kusoma na kutumikia nchi.
Ombi langu basi ni kuwa Chuo cha Diplomasia kipewe jina la Dr. Salim A. Salim na kibadilishwe jina na hadhi yake.
Pendekezo:
Salim A. Salim College for Diplomatic Studies (CDS) kutoka Centre for Foreign Relations (CFR)
A College of the University of Dar-es-Salaam
Na kiongezwe ili kutoa kozi hadi za uzamivu (kama sehemu ya UDSM) kwenye mambo ya diplomasia.
NB: Aliyetengeneza website yao (CFR) afungwe!!
Mbona wengine wamepewa na bado wapo.haya mambo ya kumpa mtu jina uku yuko hai ni uchurooo.
Unapenda sana matumizi ya haya maneno, nadhani Kandarasi ya kutugawa watanzania kumbe bado haujaimalizagang
Uliona mbali mkuu, kongoleNimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe kwenye utumishi wa kimataifa hakuna mtu aliyeitangaza na kuacha alama kimataifa kama Dr. Salim A. Salim. Mojawapo ya rekodi yake ni kuwa Balozi mwenye umri mdogo zaidi alipoteuliwa kuiwakilisha Tanzania 1964 huko Misri (akiwa na kama miaka 22 tu!). KUtoka hapo nyota yake ilikua na ikaangaza.
KUbwa zaidi kidiplomasia ni pale alipowakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa Baraza la Usalama wa UM na kutoa msimamo wa Tanzania ambao uliiwezesha China kuweza kupata kura ya veto - kitu ambacho China haijasahau hadi leo hii! Lakini ikumbukwe kuwa nusura angekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kwanza kutoka Afrika kama isingekuwa veto ya Marekani katika mchakato uliowagonanisha China na Marekani; zipigwa kura mara 16 hadi Dr. Salim na mpinzani wake walipojiondoa kupisha watu wengine! Mchango wake UN ni wakukumbuka! Hata alipopewa Boutros Ghali aliyekuwa anafuatia ni Dr. Salim (Ufaransa ilitishia kumveto Salim).
Lakini ndani ya nchi yetu alifanya mengi sana ambayo labda tumesahau lakini katika kipindi cha 1980 - 1986 (baada ya vita ya Uganda na ukame) alitumikia kwa nafasi nyeti kama Waziri Mkuu (baada ya kifo cha Sokoine), Makamu wa Rais na nafasi nyingine nyeti kama Waziri wa Ulinzi! Kwa baadhi yetu tunaweza kusema hakuna mtu aliyewahi kuandaliwa kuwa Rais wa Tanzania kama JMT hadi yale makorogo yaliyomharibia 1995. Nilipata nafasi ya kufanya na mahojiano naye miaka kadhaa nyuma kitu ambacho hadi kesho kilinifanya niendelee kumheshimu kwani kwa tuliokuwa vijana wa enzi hizo Dr. Salim alikuwa ni kile ambacho kinawezekana kwa kijana kujituma, kusoma na kutumikia nchi.
Ombi langu basi ni kuwa Chuo cha Diplomasia kipewe jina la Dr. Salim A. Salim na kibadilishwe jina na hadhi yake.
Pendekezo:
Salim A. Salim College for Diplomatic Studies (CDS) kutoka Centre for Foreign Relations (CFR)
A College of the University of Dar-es-Salaam
Na kiongezwe ili kutoa kozi hadi za uzamivu (kama sehemu ya UDSM) kwenye mambo ya diplomasia.
NB: Aliyetengeneza website yao (CFR) afungwe!!
gang = gengeUnapenda sana matumizi ya haya maneno, nadhani Kandarasi ya kutugawa watanzania kumbe bado haujaimaliza
Usimpe huyu mamako uwezo ambao hanaWewe sukuma gang, tunapowaambia mama anasikiliza kila kitu na yanayoingia akilini yote anayafanyia kazi, mnafikiri tunawatania?
Mtakufa navyo vijiba vya roho.Usimpe huyu mamako uwezo ambao hana
Kuna kipi huko sumbawanga?Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Umepata habari za Sumbawanga?
Wahusika wanakuzuumu(zoom)! Mimi nimemaliza.gang = genge
Kuna tatizo gani kusema ni genge la wasukuma?
Umewahi kuona nikibisha? Mbona nimemsupport au...nataka niombe tena...Wewe sukuma gang, tunapowaambia mama anasikiliza kila kitu na yanayoingia akilini yote anayafanyia kazi, mnafikiri tunawatania?