Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Utapata tabu sana nakuonea huruma katika sukuma gang wanaopata shuruba nadhani unaongoza .Kuna kipi huko sumbawanga?
Je, huko bei za bidhaa zimepungua?
Je huko umeme upo masaa 24 haukatiki?
Je huko maji yapo masaa 24 siyo ya mgao?
Je huko bei za mafuta zipo chini sana?
Je huko dola inapatikana?
Je huko bei ya Cement haizwi elfu 20,000 badala ya 15?
Je huko mtu hafungwi kisa kamuimba mamako?