Ombi kwa Rais Samia: Chuo cha Diplomasia kipewe Jina la Dr. Salim A. Salim ikipendeza

Kuna kipi huko sumbawanga?

Je, huko bei za bidhaa zimepungua?

Je huko umeme upo masaa 24 haukatiki?

Je huko maji yapo masaa 24 siyo ya mgao?

Je huko bei za mafuta zipo chini sana?

Je huko dola inapatikana?

Je huko bei ya Cement haizwi elfu 20,000 badala ya 15?

Je huko mtu hafungwi kisa kamuimba mamako?
Utapata tabu sana nakuonea huruma katika sukuma gang wanaopata shuruba nadhani unaongoza .
 
Wamelima sana na sasa wanauza mazao kwa wingi sana nje ya Tanzania.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na uwezo duni wa Rais Samia katika kuongoza na kuamua katika mambo muhimu ya kitaifa lakini bado ana uwezo mzuri sana wa kusikiliza kelele za wananchi na kujaribu kuzifanyia kazi. Upande wa pili ni mtu mwenye sense ya utu na uungwana. Hizi tabia mbili hakuwa nazo kabisa mtangulizi wake (Jiwe)
 
Kwa lipi?

Hili la Dr Salim kupewa chuo lina impact gani kwa raia wa kawaida?

Ishu nyeti zenye impact ya moja kwa moja kwa raia anaziba masikio,

Alafu unamsifia kwa kitu kidogo kama hiki
 
Utapata tabu sana nakuonea huruma katika sukuma gang wanaopata shuruba nadhani unaongoza .
Ni rais wa hovyo kuwahi kutokea!

Yani pamoja na umeme kuwa wa mgao lakini bado ukijinunulia ka luku kako ka elfu 5 bado unakuta kuna 1,500 imefyekwa?
 
Eeh iyo 1500 ndio inakujengea vituo vya afya na barabara huko kinijini kwenu namanyele.
 
Back
Top Bottom