Ombi kwa Rais Samia: Ukimaliza kuwapongeza Yanga hapo Ikulu, usisahau kumuuliza Eng. Hersi kamfanya nini Feisal?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?

IMG_7455.jpeg

Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili tuendeleee kuona talanta (kipaji) Cha bwana mdogo Feisal kikirejea uwanjani.

NALIA NGWENA nitafurahi mno iwapo agenda hii utaipenyeza kwa viongozi wa Yanga (Eng. Hersi) na ninatambua kuwa huwa unafuatilia JamiiForums hakika ujumbe huu utafika bila Shaka.
 
View attachment 2646353

Mbumbumbu FC.....
 
Kumzungumzia mchezaji ambaye uwepo wake ulikuwa gundu kwa klabu kufikia hapo.Rais amewaalika kwa furaha ya mafanikio baada gundu kuondoka.
2.Rais anajua mchezaji ananunuliwa na anauzwa,Kama Fei alikubali kununuliwa Kama andazi basi walionunua wana haki kuuza.ni ofa watakayoikubali Yanga itamuondoa.tofauti aende CAS au asubiri may30,2024
NB uchangiaji wa Dundukas umekwama kwenye robo ya gharama za CAS ongezeni juhudi Roborobo fc akiendelea kuwa nje itakuwa version nyingine ya Sawadogo atakapojiunga hapo Ngada FC
 
analeta utoto na masihara kwenye mambo ya umuhimu tuwapeleke watoto wetu shule ili angalau wajielewe
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?

View attachment 2646353

Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili tuendeleee kuona talanta (kipaji) Cha bwana mdogo Feisal kikirejea uwanjani.

NALIA NGWENA nitafurahi mno iwapo agenda hii utaipenyeza kwa viongozi wa Yanga (Eng. Hersi) na ninatambua kuwa huwa unafuatilia JamiiForums hakika ujumbe huu utafika bila Shaka.
Fei sal hajui maana ya mkataba. Ukiajiriwa na taasis halafu ukawa na mgogoro na mwajiriwa mwenzako unaondoka kazini?
Unamuua mtu halafu ukifika kizimbani unasema sekujua kwamba kuua ni kosa?
Unasema umetukaniwa mama yako? Mama anaingiaje kwenye mkataba???
 
Bwana mdogo namuonea Hadi huruma kila nikisikiliza interview
 
Asante sana Raisi Samia suluhu hassan hakika umeniheshimisha

Hakika NALIA NGWENA nimefurahi mno ulipo penyeza agenda yangu.
 
Fei sal hajui maana ya mkataba. Ukiajiriwa na taasis halafu ukawa na mgogoro na mwajiriwa mwenzako unaondoka kazini?
Unamuua mtu halafu ukifika kizimbani unasema sekujua kwamba kuua ni kosa?
Unasema umetukaniwa mama yako? Mama anaingiaje kwenye mkataba???
Mama kapenyeza agenda Kama nilivyoomba nazani Hilo suala limekwisha kabisa.
 
Back
Top Bottom