NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?
Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili tuendeleee kuona talanta (kipaji) Cha bwana mdogo Feisal kikirejea uwanjani.
NALIA NGWENA nitafurahi mno iwapo agenda hii utaipenyeza kwa viongozi wa Yanga (Eng. Hersi) na ninatambua kuwa huwa unafuatilia JamiiForums hakika ujumbe huu utafika bila Shaka.