NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpaka katenga muda wa kukutana Yanga Ina maana muda huo mchache anaoRais ana mambo mengi ya kufanya, hiyo ajenda sijui kama ataisema
Hayo maswali yote yatajibiwa hapo hapo.Kwann usiwaze amuulize Fei kwann anakosa adabu anatoroka mazoezini na sasa kakosa kuvaa medali?
Rage hajakosea kabisa.Akimjibu alitaka kumla jicho akakataa itakuaje?
Mbumbumbu FC.....Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?
View attachment 2646353
Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili tuendeleee kuona talanta (kipaji) Cha bwana mdogo Feisal kikirejea uwanjani.
NALIA NGWENA nitafurahi mno iwapo agenda hii utaipenyeza kwa viongozi wa Yanga (Eng. Hersi) na ninatambua kuwa huwa unafuatilia JamiiForums hakika ujumbe huu utafika bila Shaka.
sawaMpaka katenga muda wa kukutana Yanga Ina maana muda huo mchache anao
Asante sana afande ramaMbumbumbu FC.....
hiyo avatar yako badilishatusubiri
Mnataka tuwe na "PROFESSIONAL TEAMS" wakati hamuoni umuhimu wa wachezaji kuheshimu mikataba. Wa aina ya Fey Toto watawezaJe kucheza Ulaya, kama hawajui mikataba ?!.Hayo maswali yote yatajibiwa hapo hapo.
Upo sahihi.analeta utoto na masihara kwenye mambo ya umuhimu tuwapeleke watoto wetu shule ili angalau wajielewe
Fei sal hajui maana ya mkataba. Ukiajiriwa na taasis halafu ukawa na mgogoro na mwajiriwa mwenzako unaondoka kazini?Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ukishawapongeza Yanga usisahau kumuuliza Eng. Hers kamfanya nini Feisal Salumu mpaka hataki kumuona Wala kumsikia?
View attachment 2646353
Na ikiwezekana ugomvi huo uishe Mara moja ili tuendeleee kuona talanta (kipaji) Cha bwana mdogo Feisal kikirejea uwanjani.
NALIA NGWENA nitafurahi mno iwapo agenda hii utaipenyeza kwa viongozi wa Yanga (Eng. Hersi) na ninatambua kuwa huwa unafuatilia JamiiForums hakika ujumbe huu utafika bila Shaka.
Bwana mdogo namuonea Hadi huruma kila nikisikiliza interviewFei sal hajui maana ya mkataba. Ukiajiriwa na taasis halafu ukawa na mgogoro na mwajiriwa mwenzako unaondoka kazini?
Unamuua mtu halafu ukifika kizimbani unasema sekujua kwamba kuua ni kosa?
Unasema umetukaniwa mama yako? Mama anaingiaje kwenye mkataba???
Nafikili umeona nilichokisema hapo.Kwann usiwaze amuulize Fei kwann anakosa adabu anatoroka mazoezini na sasa kakosa kuvaa medali?
Mama kapenyeza agenda Kama nilivyoomba nazani Hilo suala limekwisha kabisa.Fei sal hajui maana ya mkataba. Ukiajiriwa na taasis halafu ukawa na mgogoro na mwajiriwa mwenzako unaondoka kazini?
Unamuua mtu halafu ukifika kizimbani unasema sekujua kwamba kuua ni kosa?
Unasema umetukaniwa mama yako? Mama anaingiaje kwenye mkataba???