Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Switzerland pia wanatoa ila bongo ni illegalHii huduma ipo ila ni locally na hufanyika pasipo mgonjwa kuridhia kwasababu anakuwa hajijui. Pia huwa ni Siri nzito za wazee tu. Nitoe mfano Kuna watu huugua muda mrefu tiba zote zimeshindikana na hivyo anarudishwa nyumbani. Anakaa karibia miezi 6 na baadhi ya parts zinaanza kuoza lakini anapumua. Wazee huingilia kati. Nchi ninayoijua inatoa huduma ya Kujitoa uhai ni Ujerumani.
Kuna vipengele ndani ya katiba hufanyiwa marekebisho kulingana na wakati na mahitaji yake.Itapingana na katiba
Yes, safari bado ndefu uzuri hili suala halitakuwa la lazima bali hiariUko sahihi sema jamii yetu ya kihafidhina inaweza kuona una tatizo la akili. Wakati mwingine tunazitia tu umaskini familia zetu