Hii huduma ipo ila ni locally na hufanyika pasipo mgonjwa kuridhia kwasababu anakuwa hajijui. Pia huwa ni Siri nzito za wazee tu. Nitoe mfano Kuna watu huugua muda mrefu tiba zote zimeshindikana na hivyo anarudishwa nyumbani. Anakaa karibia miezi 6 na baadhi ya parts zinaanza kuoza lakini anapumua. Wazee huingilia kati. Nchi ninayoijua inatoa huduma ya Kujitoa uhai ni Ujerumani.