Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani timu ya taifa ina wachezaji wazee tu au wew ni kichaa unayejifanya una akili hamna vijana kwenye timu ya taifa ngoja nikupe mfano mwingine Ngassa wakati anaenda kufanya majaribio westaham ya EPL alionekana kupitia nationa team hakuonekana kupitia klabu ya Yanga Bongalo khumalo alisajiliwa na Spurs akiwa na umri wa miaka zaidi ya 28 ma agent walimuona kupitia timu ya taifa ya South ni mtoto yule nyiny vitoto mnajiandikiaga vitu bila ata kufikiri mkipewa fack mnaanza kutakana ovyo mpira wenyewe meanza kuangalia janaUwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hao ulio watolea mfano walisajiriliwa katika umri gani sasa hao wazee kina Zimbwe , Msuva wanaenda kufanya nini huko? mbaya zaidi kuonyesha huna akili unasema agent kuchoma nauli wakati hio ndio kazi yake
Kwamba mazoezini ndo hawapati injuries.....nakupa home work hebu fuatilia idadi ya injuries zinazopatikana na mazoezini na kwenye mechi afu urudi hapa.Mbali na kucheza mpira kuna kupata injury pia hilo ulifikirie
Unajua mnataka kuleta ligi sizizo na maana, embu tuangalie faida na hasara kwa hao wachezaji wanaotegemewa na timu zao kwenda hizo mechi za kirafiki.Kwamba mazoezini ndo hawapati injuries.....nakupa home work hebu fuatilia idadi ya injuries zinazopatikana na mazoezini na kwenye mechi afu urudi hapa.
Hao viongozi wa vilabu si ajabu wamekaa kimya wanafurahia wamepata sababuTFF tunaomba mfikirie umuhimu wa mashindano, ubora wa mashindano na vipaumbele vya mashindano. Kwasasa timu ya Simba na Yanga zina mechi muhimu sana ya klabu bingwa hatua ya robo fainali na inachezwa tarehe kati ya tarehe 29 na 30 mwezi huu. Lakini nimeshangazwa na kutaka kuwatumia wachezaji muhimu wa Simba na Yanga kwenye bonanza la FIFA series ambayo itachezwa tarehe 25 huko Azerbaijan.
Hivi kweli mmeshindwa kutafakari kuona umuhimu wa timu zetu za Tanzania kufanya vyema kwenye klabu bingwa kiasa kwamba hamkuona haya ya kuwaachia wachezaji wao waendelee na program za makocha wao kujiandaa na mechi ya klabu bingwa zilizopo mbele yao?
Yaani hili nalo ni mpaka mfundishwe? Au mnataka vilabu visiwe vinatoa ruhusa kwa wachezaji wao muhimu?
Kuna umuhimu wa viongozi wa Simba na Yanga kukaa chini na TFF kuomba kubakishiwa wachezaji wote waendelee na program za maandalizi ya mechi ya klabu bingwa na isitoshe katika wachezaji wataochukuliwa ni kutoka Tanzania pekee kwavile mataifa mengine yanatoka hawa wachezaji wa Simba na Yanga hayapo kwenye hili bonanza